Uncle Araali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 950
- 1,262
Kama alishauri kwa jambo zito kama hilo na hakusikilizwa,mbona hakujiuzulu?Kwani yeye ndio alikuwa rais? Rais wako alikuwa anashurika? Si alisema kwamba hapangiwi jambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alishauri kwa jambo zito kama hilo na hakusikilizwa,mbona hakujiuzulu?Kwani yeye ndio alikuwa rais? Rais wako alikuwa anashurika? Si alisema kwamba hapangiwi jambo?
Kama unamjua vizuri magufuli sitarajii uulize maswali ya aina hiyo.Samia wakati madudu yanafanyika alikuwa wapi?
Kwahiyo kujiuzulu alishindwa kama alikuwa hakubaliani na maovu?Mama samia asingeweza kufanya lolote vinginevyo wangemtundulisuu mapema ...
Harafu mtoa mada usikaze ubongo mjinga wewe ,inamaana ulikuwa huoni yanayowakuta watendaji wake wanaoenda kinyume na yeye ....
Mfano cag aliyepita assad ..
Huyo magu alijitengenezea bomu mwenyewe wacha limlipukie huko huko aliko ...
Wakulaumiwa ni wale wote waliohusika na ufisadi huu na sio hayati Magufuli tu ndo atupiwe lawama zoteHuwa najiuliza kwenye hizi report za CAG nani wa kulaumiwa..?
Mama alikuwa akimshauri Babu yako,sema babuyo alianza kufa masikio kwanza🤪🤪Kwahyo Samia ambaye alikua makamu, ni msafi kabisa. Ila tu Rais?
Yeye kama makamu wa Rais anakuaje msafi kwa yote hayo? Hivi ni chuki tu kwa Magu au kuna cha zaidi?
Alipeleka barua mara 2 ya kujiuzulu lakini aliambulia vitisho.Kama alishauri kwa jambo zito kama hilo na hakusikilizwa,mbona hakujiuzulu?
Makamu wa rais asiyeshirikishwa na akabaki madarakani bila kujiuzulu,anafaa kuwa rais?Kama unamjua vizuri magufuli sitarajii uulize maswali ya aina hiyo.
Yani maovu ya magufuli.kutotaka kuweka hadharani report za Cag,akampokonya cheo Assad kisa alisema ukweli.akamweka mtu kwa sharti aseme tu kile anachokotaka yeye,mtu anaisemea mahakama kwamba muhukumu huyu mwachie huyu..
Madhambi ya magu mnataka kumbebesha mama wa watu wakati ukute hakushiriki hata maamuzi..
Tafuta jingine
Kwan I wewe unataka huyu mama ajiuzulu halafu nafasi yake apewe nani?Kwahiyo kujiuzulu alishindwa kama alikuwa hakubaliani na maovu?
Sijui, ila nasikia harufu ya "chembe chembe za chuki binafsi hapa". Dawa sio kwa uongozi wa sasa kujiuzulu, ila DAWA ni kuchukua hatua stahiki, muafaka na kwa muda sahihi DHIDI ya WATUHUMIWA WOTE, yaani wapewe nafasi ya kujibu hoja hizo za CAG hata kama wako nje ya mfumo wa uongozi na serikali. Kuwajibishwa NI LAZIMA kwa misingi, taratibu, kanuni na sheria za nchi.Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?
Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Hapo unabashiri tu, lakini mtu aliye imara kujiuzulu hawezi kushindwa.Angeanzaje kumsema mhishimiwa mkuu wa malaika na alivyokua anasumbuliwa na maukimwi angeweza hata kumvua shungi hadharani, hatakiwi kujiudhulu anatakiwa aumuongezee ulinzi CAG ili aendelee kuanika madudu ya hata hao aliowateua tujue tu rangi zao halisi unafiki haukaagi muda unajitokeza fasta tu kama ilivyo sasa
Kama alishauri kwa jambo zito kama hilo na hakusikilizwa,mbona hakujiuzulu?
True the presidency has to go....Samia wakati madudu yanafanyika alikuwa wapi?
Makamu qa Rais hana Say kwaio lawama zinaendelea kwenda kwa MwendazakeKumbuka raisi Samia alikuwa makamu wa raisi ktk serikali hiyo inayosemekana kuwa ilifanya ufisadi mkubwa, waziri mkuu pia na bila kuwasahau baadhi ya mawaziri ambao pia wapo ktk serikali hii mpya ya mama Samia. Ikiwa shutuma hizi zitaendelea na hao niliowataja hapo hawatojiuzulu nyazifa zao serikalini, basi 2025 CCM ijiandae kwa anguko kubwa, japo wengi hawalioni hili