Ni maandalizi ya jambo kubwa... Huwa wanaanzia huku ili kutengeneza ushahidi.. Hawajaitoa hii habari kwa bahati mbayaWakuu,
Naona kelele za Watanzania zimefika duniani huko.
Sasa tuone kama CCM wataweza kufungia hili gazeti nalo!
View attachment 3365283
View attachment 3365285
Niliwahi fikiria hili, uchaguzi uanze upya wakati nchi ikiwa chini ya Jaji mkuuKatiba ibadilishwe ili raisi akifa akiwa madarakani nchi iwe chini ya Jaji Mkuu kwa miezi 3 ndipo uchaguzi ufanyike.
Uwe na akili. Kesi yao ni tofauti na ya kwetu. Sisi tunatekana tunauwena tunabakana. Demokrasia na haki uhuru wa mawazo hatuna.Vipi huko California na Texas wanajeshi bado wanawafyatulia risasi waandamanaji wa amani?
Aliigizwa cha kike na wapambe wakeSahivi hamna tena zile taarifa za safari, kuna kipindi zilikua zinafululiza.....anapaa tu
Sahivi ni humu humu kwa kenge wa ndani 😁
Hata ukimuuliza maana ya hizo 4R sijui kama anaelewa yeye mwenyeweWameshaona rangi zake halisi, 4R zilikua boshen au alidesa mahali maana hata mwenyewe ameshindwa kuzisimamia.
Hilo haliwezi kusaidia maana asilimia kubwa ya majaji, wakuu wa vyombo vya usalama wote ni watiifu kwa rais na wote wanateuliwa na kupendekezwa na rais na wanaapa kuilinda ilani ya CCM. Hivyo hawawezi kuleta mabadiliko yoyote yale.Katiba ibadilishwe ili raisi akifa akiwa madarakani nchi iwe chini ya Jaji Mkuu kwa miezi 3 ndipo uchaguzi ufanyike.
Kwema mkuu?Utawala wa halon za binadamu unahitaji umami wa watu wenye akili na busara. Waimba miasho hutegemea mkono wa dola.
Mkuu nakupinga Samia ni kiongozi nzuri tu, tatizo alifikaje hapo juu? waliomfikisha ndiyo wanamharibia, angalia miezi yake 3 ya mwanzo 2021 alifanya vizuri sn baadae wapambe wanakamwingiza kwenye mtego naye akajaa mazima mazima.Hivi jamani tuwe wakweli kwanini hii nchi inatawaliwa na huyu mtu kweli kabisa tumekosa watu wenye akili kutuongoza mpaka nayeye huyu? Kaa tunauwawa kwa kujitakia yani Samia anaongoza nchi?? Hiyo sijui ni nchi ya aje?
Jaji Mkuu huyu huyu Juma? bora nchi iwe chini ya Shelkh PondaNiliwahi fikiria hili, uchaguzi uanze upya wakati nchi ikiwa chini ya Jaji mkuu
. Bandari kuu ya Tanganyika amewapa waarabu matokeo yake Abdul amekuwa tajiri mpaka ana hela za kuhonga wapinzani. LET US DO SOMETHINGHivi jamani tuwe wakweli kwanini hii nchi inatawaliwa na huyu mtu kweli kabisa tumekosa watu wenye akili kutuongoza mpaka nayeye huyu? Kaa tunauwawa kwa kujitakia yani Samia anaongoza nchi?? Hiyo sijui ni nchi ya aje?
😅😅😅 Tuna-assume wote tumeshafukia kwahy tuna judge mwingineJaji Mkuu huyu huyu Juma? bora nchi iwe chini ya Shelkh Ponda
Atatokana na mfumo upi? mfumo ndiyo ovu na siyo watu😅😅😅 Tuna-assume wote tumeshafukia kwahy tuna judge mwingine
McLaren Huna credibility baada ya kuandika uzi huuWakuu,
Naona kelele za Watanzania zimefika duniani huko.
Sasa tuone kama CCM wataweza kufungia hili gazeti nalo!
View attachment 3365283
View attachment 3365285
Na lenyewe mkalitazame4R yeye mwenye nazo hazijuhi au aliandikiwa?
Zile 4R zilikuwa kanyaboya ili kuharibu kirahisi uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024. NA WOTE TULISHUHUDIA ALICHOKIFANYA MKWE WAKE( MME WA MTOTO WAKE) MCHENGERWAWameshaona rangi zake halisi, 4R zilikua boshen au alidesa mahali maana hata mwenyewe ameshindwa kuzisimamia.
jaji bora kuwai kutokea ni huyu mzeeHilo haliwezi kusaidia maana asilimia kubwa ya majaji, wakuu wa vyombo vya usalama wote ni watiifu kwa rais na wote wanateuliwa na kupendekezwa na rais na wanaapa kuilinda ilani ya CCM. Hivyo hawawezi kuleta mabadiliko yoyote yale.
Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba (yaani Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2013), ilizungumzia kwa kina mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, kwa lengo la kuyapunguza na kuweka misingi ya demokrasia, uwajibikaji, na utawala wa sheria. Rasimu hii iliandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya uenyekiti wa Jaji Joseph Warioba.
Mambo Muhimu Rasimu ya Warioba Ilivyosema Kuhusu Mamlaka ya Rais:
1. Kupunguza Mamlaka Makubwa ya Rais
Rasimu ilitaka rais asiwe na mamlaka makubwa kama ilivyo katika Katiba ya sasa. Ililenga kuondoa urasimu, ubinafsi, na matumizi mabaya ya madaraka.
2. Kuweka Ukomo wa Mamlaka ya Uteuzi
Rais angekuwa na mamlaka ya kuteua watu kwa nyadhifa mbalimbali, lakini uteuzi huo ungetegemea ushauri au idhini ya vyombo vingine kama Bunge au Tume huru.
Kwa mfano, uteuzi wa wakuu wa vyombo vya dola kama Jaji Mkuu, Mkuu wa Polisi, au Mkurugenzi wa TAKUKURU ungetakiwa kupitishwa na Bunge au tume maalum.
3. Kuwajibika kwa Bunge
Rais angeweza kuchukuliwa hatua na Bunge kwa makosa ya kikatiba (impeachment) ikiwa atakiuka Katiba, kutumia vibaya madaraka au kushindwa kutimiza majukumu yake.
Hili lililenga kuhakikisha Rais anawajibika na si mtu aliye juu ya sheria.
4. Kupunguza Mamlaka ya Kugawa Majimbo au Mikoa
Rasimu ilitaka mambo haya yaamuliwe kwa mujibu wa sheria au mashauriano ya kisera, si kwa matakwa ya Rais pekee.
5. Rais Asiwe Mkuu wa Vyombo Vyote
Ilipendekezwa kwamba baadhi ya taasisi kama TAKUKURU, Tume ya Uchaguzi, na Mahakama ziwe huru na zisitegemee ridhaa ya Rais ili kufanikisha uhuru wa vyombo hivyo.
6. Muundo wa Muungano wa Serikali Tatu
Rasimu ilipendekeza Tanzania kuwa na Serikali Tatu: Serikali ya Muungano, Serikali ya Tanganyika, na Serikali ya Zanzibar. Hii ilimaanisha Rais wa Muungano asivuke mipaka ya mamlaka hadi kwenye masuala ya serikali nyingine mbili.
Ya ajuza yasijirudie kabsaKatiba ibadilishwe ili raisi akifa akiwa madarakani nchi iwe chini ya Jaji Mkuu kwa miezi 3 ndipo uchaguzi ufanyike.
Ni Risasi za Moto au Mipira ? Be smart Mkuu. Wenzetu wanajali haki za Binadamu, waandamanaji wanafyatuliwa risasi za mipira ambazo haziuwi ni vimaumivu tu unapata na wakikamata hawawapotezi au kuwavunja miguu badala yake wanawafikisha mahakamani. Je kwetu kwanini halifanyiki hivyo. Tutumie basi akili za kibinadamu zenye utu tusijaribu kutetea tu Uonevu na kusababisha maafa makubwa kwenye jamii. Tanzania ni yetu sote, si ya akina fulani. Mimi nilijiunga CCM kipindi mwendazake alipochukua madaraka. Pamoja na magumu aliyotupitisha ila alikuwa karibu na wananchi na sio watendaji wake. Hakuwahi kutetea Mauaji au Ufisadi (Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake).Vipi huko California na Texas wanajeshi bado wanawafyatulia risasi waandamanaji wa amani?