Yanayoendelea Tanzania yafika Marekani. Gazeti la Wall Street Journal yamkaanga Rais Samia!

Wao wanalazimisha ushoga walioukataa kwenye Biblia walizotuletea
Kwanini na misaada yao msikatae?Bila wao wagonjwa watakufa Kila Leo?

Mnauwezo wa kutengeneza na kununua chanjo Kwa watoto?
Mnauwezo wa kununua dawa za ARV Kwa wagonjwa 1.5M?

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA

NO REFORM NO ELECTION.
 
Wakuu,

Naona kelele za Watanzania zimefika duniani huko.

Sasa tuone kama CCM wataweza kufungia hili gazeti nalo!

View attachment 3365283

View attachment 3365285
Hilo gazeti kwanza lingeongelea upuuzi wa Donald Trump anayekamata watoto wadogo na kuwaweka kwenye kambi za wakimbizi kwa ajili ya kuwarudisha makwao!.

Kwanza wangeanza na vurugu za kule California, kazi zimesimama ni mwendo wa kulipua mabaruti mabarabarani.

Mtanzania kama kawaida yake ni mwepesi sana katika shughuli ya kujirahisisha kwa pesa za wazungu.

Anachofanya huyu mleta mada ni sawa na ule ujinga wa Mwangi na yule dada kutoka Uganda, majirani wawili kuwafanyia usaliti Tanzania kwa nia tu ya kuingiza pesa ambazo ni makaratasi yanayotumika leo na kwisha leo hii hii.
 
wsj.png

Wameshaongelea hilo suala kitambo sana. Unataka kusemaje?

Au unadhania hii ni Habari Leo au Daily News ya pale Lumumba, magazeti yaliyojaa unafiki?

Yaani CCM talking points zenu bwana zinachekesha!
 
Jamani wasomi tusaidie kutafsiri sisi wengine tulisoma shule za Kata😔😔😔
 
Back
Top Bottom