Allahu akbar......kumuacha mwanamke kuwa raisi ni kumpinga Allah
Yaani serikali inafanya utani na hii slogan ya No reform No election lakini itawatesa sana.Wakuu,
Naona kelele za Watanzania zimefika duniani huko.
Sasa tuone kama CCM wataweza kufungia hili gazeti nalo!
View attachment 3365283
View attachment 3365285
Yaandike weweMbona yanayoendelea kule LOS ANGELES hwaandiki. Hadi jeshi linaingizwa mtaani. Wazungu mashoga ni watu wa hovyo sana.
Nimeshaandika..Mashoga ni watu wa hovyo sanahYaandike wewe
Nimeshaandika..Mashoga ni watu wa hovyo sanaYaandike wewe
Mtu wa watuLisu ana akili sana sema ni vigumu sisi kumwelewa jamaa yupo ndani lakini anajua anachokifanya na alijiandaa vizuri sn
California wahamiaji haramu wanachoma majengo na bendera za Marekani,,unategemea Trump awaacheVipi huko California na Texas wanajeshi bado wanawafyatulia risasi waandamanaji wa amani?
Huyu muuaji, mtekaji,bakaji,mlawiti uchafu wake unazidi kuanikwa kimataifaWakuu,
Naona kelele za Watanzania zimefika duniani huko.
Sasa tuone kama CCM wataweza kufungia hili gazeti nalo!
View attachment 3365283
View attachment 3365285
Ni maandalizi ya jambo kubwa... Huwa wanaanzia huku ili kutengeneza ushahidi.. Hawajaitoa hii habari kwa bahati mbaya
One step ahead....✌🏿📌🔨💪🏿Si bahati mbaya ndo maana ubalozi hupo hapo. Na pia akina likokola na mwang'ombe wamejitahidi sana. Jarida la wallstreet ni la wenye pesa na ni baya sana sababu linazuia watu kuja kuwekeza. Tujipange.
Lisu alijiandaa sanaa tuu. kosa mama alilolifanya nikukubali lisu awe mwenyekiti.Lisu ana akili sana sema ni vigumu sisi kumwelewa jamaa yupo ndani lakini anajua anachokifanya na alijiandaa vizuri sn
Sasa mbona kauli yako inaji contradict? Yaani unasema ni kiongozi mzuri then tena unasema wapambe wakamuingiza kwenye mtego, kiongozi gani sasa huyo?Mkuu nakupinga Samia ni kiongozi nzuri tu, tatizo alifikaje hapo juu? waliomfikisha ndiyo wanamharibia, angalia miezi yake 3 ya mwanzo 2021 alifanya vizuri sn baadae wapambe wanakamwingiza kwenye mtego naye akajaa mazima mazima.
Hiyo ni sawa na kusema siku hizi anaonekana Tandale, Mburahati na Mbagara Zakhem pande za Masaki, Msasani hatimbi kabisa.Maza sahivi safari zake zimekuwa za Comoro, Msumbiji, Uganda na Rwanda, kule duniani hatakiwi tena ni aibu kubwa sn.
Hahahahahaha. Usiombee kukaa ndani. Uliza kwanini Mbowe alitoka akakaa kimyaaaLisu ana akili sana sema ni vigumu sisi kumwelewa jamaa yupo ndani lakini anajua anachokifanya na alijiandaa vizuri sn