Hilo gazeti kwanza lingeongelea upuuzi wa Donald Trump anayekamata watoto wadogo na kuwaweka kwenye kambi za wakimbizi kwa ajili ya kuwarudisha makwao!.
Kwanza wangeanza na vurugu za kule California, kazi zimesimama ni mwendo wa kulipua mabaruti mabarabarani.
Mtanzania kama kawaida yake ni mwepesi sana katika shughuli ya kujirahisisha kwa pesa za wazungu.
Anachofanya huyu mleta mada ni sawa na ule ujinga wa Mwangi na yule dada kutoka Uganda, majirani wawili kuwafanyia usaliti Tanzania kwa nia tu ya kuingiza pesa ambazo ni makaratasi yanayotumika leo na kwisha leo hii hii.