Hapa wanakataza Kwa Sheria ipi??aliyekataza kula hadharani ni serekali ya mapinduzi ya Zanzibar?hakuna anaelazimishwa kufunga hapa zanzibar.kwa wale ambao hawadungi wanakatazwa wasile hadharani kakini.kwa maana hiyo wanatakiwa wale majumbani kwao.kutokana na huvo viongozi wa serikali,mashekhe na waumini hutangaza kwamba si.ruhusa kula hadharani ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani.suala hilo halipo ndani ya sheria lakini serikali ina haki ya kutoa amri ya kitu fulani kisifanywe iwapo kinaonesha kuleta madhara fulani.suala la serikali kukataza watu wasile hadharani ni sawa na kukataza maandamano kutofanyika.serikali hii leo iseme ni ruhusa zanzibar wasio waislamukula hadharani hapo patatokezea ugomvi mkubwa usio zuilika