DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hizo ni aya mbili tofauti aya ya kwanza ni hiyo na Makristo na Mayahudi..''yaa ayyyuhallazina amanu'',,ni sahihi tuh kutumia hapo,na Wala siyo hoja ya kuweka kikao,ni enyi mlioamini msije kuwafanya hawa makafiri kuwa RAFIKI zenu,kwakuwa wapo watu walikuwa wanajifanya wameamini,lakini Kwa upande mwingine ni wanafiki wanashirikiana na makafiri kuwamaliza waislam.
Wakiwa pamoja na waislam wanasema sisi tumeamini,baadae wakitoka wakiwa na makafiri wenzao wanasema sisi hatujaamini Wala Nini,yaani tuamini kama wanavyoamini wale wendawazimu Kuwa eti Mungu ni Mmoja?sisi tunawacheza shere tuh,tunawachora tuh wale waislam,so Hali ilikua ni hivyo,sisi waislam tunapaswa kutowafanya makafiri kuwa washirika au tunatakiwa kukaa na nyinyi Kwa akili Kwa kuwa tunajua njyinyi mnatuchukia.
Aya ya Pili uliyoleta ni wale wanafiki na inaendelea mpaka Aya ya 62..
Na ukiangalia hiyo.aya Anataja miongoni mwa wale sio wote aya ya 51 ametaja kwa ujumla sijui kama unaelewa nahaw au nianze kukuelekeza