Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Hapa wanakataza Kwa Sheria ipi??aliyekataza kula hadharani ni serekali ya mapinduzi ya Zanzibar?
 
Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Hilo halihusiani na dini!
 
Hili jambo limekuwa sugu! Waziri wa mambo anatakiwa kulitolea ufafanuzi.
Vinginevyo Zanzibar hakuna uhuru wa dini.
 
Eti eeh,why basi Hizo sheria za kufirana asitupe sisi waislam anawapa nyinyi,we hujiulizi?
mfirane mara ngapi sheria ni michezo ya kidunia ila ufiraji jiulize umekithiri wapi? papa kajua kuwamaliza
 
Mfano mtu akuchukie mtu kama wewe unayetumia jina bandia, hakujui, ulivyo kichwa maji na hopeless apate faida gani
 
Mfano hii inakusaidia nini wewe binafsi
 
Serikali ya Zanziba imeruhusu raia /waharifu wanaojificha nyuma ya mwamvuli wa dini, kupiga watu hovyo eti kisa mtu kala chakula,hilo ni Bomu hatari sana, maana wataona ni kawaida na kwenda mbali zaidi
 
Kama watz mna akili timamu mtagundua Kuna juhudi zinafanywa na awamu hii kuvunja muungano maksudi kabisa!!

1.Dp world

2.fedha kibao huko visiwani.

3.hiyo kamata kamata inayotokea!!

Ongezea mengine!
 
Zanzibar ni nchi ya kiislamu hivyo ni lazima ufuate sheria za kiislamu, hivyo kwa wale wanaokula mchana hadharani mwezi wa ramadhani lazima wapigwe bakora. katiba yao ndio isemavyo tofauti kabisa na katiba ya bara yenye ukiristo na uislamu
Samahani bwa shee unaweza kutupa ufafanuzi kidogo wa hicho kifungu kinachosema hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…