gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
Zanzibar ni nchi ya kiislamu hivyo ni lazima ufuate sheria za kiislamu, hivyo kwa wale wanaokula mchana hadharani mwezi wa ramadhani lazima wapigwe bakora. katiba yao ndio isemavyo tofauti kabisa na katiba ya bara yenye ukiristo na uislamu
Allah anapodanganya;
9:30 Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa! 30
Mbona uulizi kwanini makanisa mengi sana huko Tanzania Bara yanazuia kwa nguvu zote waumini kuingia na vimini wakti wa ibada? Je hujui kwa nini?
Kwani zanzibar kufunga wameanza leo??
Ukristo zanzibar umeanza leo??
Tusisikie hayo mambo miaka yote tuje tuskue leo??
Hivi Kukaa bila kuwachokonoa waislam hamjiskii raha.
Hii id ya jason bourne nakumbuka Mods hapo awali walishawahi kuiuunganisha na Yericko Nyerere.
Hivi huyu jamaa anasumbuliwa na nin hasa??
Kutwa kucha kuanzisha ids za kijinga na kuanzisha mijadala isiyo na tija.
Mods angalieni hivi vitu baadae huja kusababisha taharuki zisizo na maana.
Hivi polisi kazi yao ni nini?
Au ni ruhusu kupiga watu???
Mbona uulizi kwanini makanisa mengi sana huko Tanzania Bara yanazuia kwa nguvu zote waumini kuingia na vimini wakti wa ibada? Je hujui kwa nini?
wewe kama bado umelala wenzako wameamka,unalotakiwa kujua ni kuwa Zanzibar ni nchi yenye bunge lake,serikali yake na mipaka kamili na Kikwete akienda Zanzibar haina tofauti kama akienda KenyaKatiba yao ipi hiyo? ibara ya ngapi inasema Zanzibar ni nchi ya kiislamu? usipotoshe watu hapa mkuu.
Mbona uulizi kwanini makanisa mengi sana huko Tanzania Bara yanazuia kwa nguvu zote waumini kuingia na vimini wakti wa ibada? Je hujui kwa nini?
wewe kama bado umelala wenzako wameamka,unalotakiwa kujua ni kuwa Zanzibar ni nchi yenye bunge lake,serikali yake na mipaka kamili na Kikwete akienda Zanzibar haina tofauti kama akienda Kenya
Zanzibar ni nchi ya kiislamu hivyo ni lazima ufuate sheria za kiislamu, hivyo kwa wale wanaokula mchana hadharani mwezi wa ramadhani lazima wapigwe bakora. katiba yao ndio isemavyo tofauti kabisa na katiba ya bara yenye ukiristo na uislamu
Kwani wakila hadharani kinakuuma nini wewe ambae umefunga.
Mbona haijatokea gharika Tanganyika ambako wenye macho mekundu wanauliwa, au maalibino kukatwa viungo vya mwili na watu kuchunywa ngozi!!!????
Au katiba ya TZ inaruhusu haya? Na mbona hauyashangai haya na badala yake unakuja kushangaa watu wanaopigwa bakora ZNZ kwa kosa LA kula mchana wa mwezi wa Ramadhani!!??? Acha unafiki name kumbuka hicho kitabu chako unachokifuata kinasema ukitaka kutoa kibenza kwenye jicho la mwenzako basi anzia kutoa boriti kwenye jicho lako
Lakini sikushangai sana maana mfumo kristo ndivyo ulivyokulea kulifanya kubwa lolote lile ambalo waislamu watalifanya name kuliona dogo lolote lile ambalo wakristo watalifanya hata kama ni mapdri kulawiti watoto
Hata masheh na ma ustaadh,wanaofundisha madrasa,wanabaka pia,mfano tukio lililotokea LINDI,TUNDURU,jibu hoja sio kuleta cheap politics
Kwani zanzibar kufunga wameanza leo??
Ukristo zanzibar umeanza leo??
Tusisikie hayo mambo miaka yote tuje tuskue leo??
Hivi Kukaa bila kuwachokonoa waislam hamjiskii raha.
Hii id ya jason bourne nakumbuka Mods hapo awali walishawahi kuiuunganisha na Yericko Nyerere.
Hivi huyu jamaa anasumbuliwa na nin hasa??
Kutwa kucha kuanzisha ids za kijinga na kuanzisha mijadala isiyo na tija.
Mods angalieni hivi vitu baadae huja kusababisha taharuki zisizo na maana.
ivi kuna tatizo gani zanzibar ikiwa nchi ya kiislamu