EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Niajiri hapo mkuuuNdio upendekeze mkuu.
Hata wangu wanalipwa kulingana na masaa, lakini majukumu, na thamani ya mtu(CV).
Na hawanyi kazi zaidi ya masaa nane na nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niajiri hapo mkuuuNdio upendekeze mkuu.
Hata wangu wanalipwa kulingana na masaa, lakini majukumu, na thamani ya mtu(CV).
Na hawanyi kazi zaidi ya masaa nane na nusu
Niajiri hapo mkuuu
Ndio mkuuKazi unaweza?
Ndio mkuu
uisiwaze mkuu, Niamini.Ngoja tucheki nafasi.
CV ni muhimu ila uaminifu ni muhimu zaidi
Kuna kiwanda cha sulphur ABC Temeke Tazara. Wanakufa na sumu ujira 10000 na kupata kazi mpaka utoe rushwa au chupi
Kuna ajali za kutisha huko kwenye viwanda ,we acha tu , hata safety gears Tu ,HamnaNgozi nyeusi tuna laana sana chief.
Kuna ajali za kutisha huko kwenye viwanda ,we acha tu , hata safety gears Tu ,Hamna
Kuna ajali nimewahi shuhudia mwanamke anagongwa na kuvunjwa mguu na yale meno ya fork lift za kubebea mizigo kutoka kwenye production line kwenda warehouse ,na hakupewa hata fidia au matibabu ya maana , ni ulemavu wa kudumu
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Ila kumbuka kuna wakati plastiki inauzwa 5000 mpaka 2000[emoji38]Ndoo moja ya nyanya ni elfu 20 mpaka 30 shambani. Chagua kunyoa au kusuka
Unakuta watu wanameza vumbi na kugongwa na joto kali kwenye production plants kama mchwa mpaka ukiwaangalia moyo unaenda mbio unatamani kuzimia ,ila wao ndio mwanzo mwisho asubuhi saa mbili mpaka saa tatu usikuKusema kweli ninepita viwanda fulani hapo Matumbi, inasikitisha sana hali ilivyo........ Afya za wafanyakazi hazijazingatiwa kabisa
Hapana mkuu tuko kwenye nafasi ya 3 miongoni mwa nchi zenye furaha duniani[emoji56][emoji56]Watz hawana furaha kabisa!
Hivyo viwanda pengine vingelipa vizuri tu lakini selikali nayo imekodolea macho huko inawakamua kodi kubwa vibaya mno.
Mwisho wa siku na wao wanawabana vibarua
Hakuna mpango mzuri kama wa kuamua kulima asee unakuwa uhuru wa kujifanyia mambo yako kwa uhakikaNdugu yangu,hivi msomi ni yupi?
Kuna sehemu niliajiriwa,ilikuwa ukiangalia vibarua wengi ni form four na six ambao hawana
wa kuwaendeleza wanasaka chapaa ili wajisomeshe na wengine hawakupata maksi nzuri
ili kuendelea,Sasa ukiangalia mshahara huo kama huna mtu anayekuhifadhi huwezi fanya lolote
utaendelea kuteseka hadi nguvu ziishe.
Cha kufanya,kama kwenu kuna shamba ni heri urudi ukalime,au basi jitahidi uwe machinga
Mkuu,ndiyo maana magonjwa kama cancer yanaspidi kubwa katika jamii yetu,kuna kiwanda cha sufuria hapo Matumbi staki kukitaja jina,hali ni mbaya sana, OSHA wakienda wanaishia kwenye management tu wanachukua bahasha bila hata kufanya ukaguziUnakuta watu wanameza vumbi na kugongwa na joto kali kwenye production plants kama mchwa mpaka ukiwaangalia moyo unaenda mbio unatamani kuzimia ,ila wao ndio mwanzo mwisho asubuhi saa mbili mpaka saa tatu usiku
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Ni balaa , tena hao maofisa wa OSHA ndio wazee wa rushwa , wazee wa kubeba vibahasha vya kakiInasikitisha sana
Mkuu,ndiyo maana magonjwa kama cancer yanaspidi kubwa katika jamii yetu,kuna kiwanda cha sufuria hapo Matumbi staki kukitaja jina,hali ni mbaya sana, OSHA wakienda wanaishia kwenye management tu wanachukua bahasha bila hata kufanya ukaguzi
Mwanangu mchawi buku 50 tu unapata kazi ya kifo pale ABCAisee sulphur ni sumu unakufa uku unajiona