Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

Sure mtu ana mtaji,anategemewa katoka familia fukara kwann asifanye iyo kazi maisha yaende.

Na hao wenye degree wanaofanya izo kazi nao akili zao zipo lock mamb ni tight jaman kuna mademu wasomi wanajiuza awapend ila ndoivo shit happen.
Mtu kabahatisha ajira serikalini huko andika kirahisi humu, Security inampa upofu
 
Juzi WAnawake walichanga 120M kumchukulia raisi fomu ya kutetea nafasi yake, kumbe Kuna nguvu kazi inapotea viwandani Kwa ujira wa sh.4000/=
 
Juzi WAnawake walichanga 120M kumchukulia raisi fomu ya kutetea nafasi yake, kumbe Kuna nguvu kazi inapotea viwandani Kwa ujira wa sh.4000/=
Wakati form ni 1M .Tz hii ni ujipambanie usisubr serikali mradi wa kilimo BBT tayar umepoteza dira.
 
KAZI ya ulinzi,usafi malipo ni elf 4 kwa siku kwa masaa 12 kwa makampuni haya haya ya wagangaa njaa waswahili wenzetu.
 
Dada wa KAZI bongo analipwa elf 3 kwa siku kwa masaa 16 kwa siku kwa siku.
Hii Dunia ni akili yako uwe mtumwa au ujitume
 
Na bado watumwa ni wengi mno kila siku wamejazana getini, ukichelewa dakika moja huingii siku hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…