Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Daah inasikitisha snaa.. tuombe Mungu kwa kweli atulindie hizi riziki zetu.Jiulize anaishije..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah inasikitisha snaa.. tuombe Mungu kwa kweli atulindie hizi riziki zetu.Jiulize anaishije..
Mtu kabahatisha ajira serikalini huko andika kirahisi humu, Security inampa upofuSure mtu ana mtaji,anategemewa katoka familia fukara kwann asifanye iyo kazi maisha yaende.
Na hao wenye degree wanaofanya izo kazi nao akili zao zipo lock mamb ni tight jaman kuna mademu wasomi wanajiuza awapend ila ndoivo shit happen.
Juzi WAnawake walichanga 120M kumchukulia raisi fomu ya kutetea nafasi yake, kumbe Kuna nguvu kazi inapotea viwandani Kwa ujira wa sh.4000/=Hao makanjibai wataendelea kutuburuza endapo kama nchi hatutabadilika. Serikali itimize wajibu wake na pia sisi watanzania tutimize wajibu. Kwa mfano unakuta kiongozi mkubwa kama Mbowe anaenda kuchangisha zaidi ya milioni 400 kumnunulia askofu gari la kifahari baada ya ku-boost vijana wajasiriamali ambao wameshaanza kupiga hatua. Kuna vijana wako vizuri kwenye ujasiriamali ukisema uwawezeshe angalau 50m kila mmoja wangeajiri vijana wenzao kibao. Cha kushangaza kiongozi wa chama kinachojiita cha ukombozi anaenda kutumia zaidi ya milioni 400 kumzawadia askofu asiye hata na shida ya hiyo pesa.
Kabisa sio powa mambo kwa ground.Daah inasikitisha snaa.. tuombe Mungu kwa kweli atulindie hizi riziki zetu.
Wakati form ni 1M .Tz hii ni ujipambanie usisubr serikali mradi wa kilimo BBT tayar umepoteza dira.Juzi WAnawake walichanga 120M kumchukulia raisi fomu ya kutetea nafasi yake, kumbe Kuna nguvu kazi inapotea viwandani Kwa ujira wa sh.4000/=
Uzi gani?Uzi wako mbona siuoni?
It is better that you are employed, those in the factories are laborers..🤨Kumbe na wafanyakazi wa viwandani wana kipato kidogo? Nilidhani ni wale tu wa kada yetu pendwa tunayoinanga Kila siku[emoji41]
Malipo yakoje?Kusema kweli ninepita viwanda fulani hapo Matumbi, inasikitisha sana hali ilivyo........ Afya za wafanyakazi hazijazingatiwa kabisa
Ulinz una mshahara mdogo sana. Kampuni nyingi hazifiki 200. Ila ukipata LINDO lenye madili unakunja mpaka 2m monthlyKwenye ulinzi alikuwa analipwa shingap?
Hujui unalolizungumza wewe jamaa. Unataka kusema maskini wote hawana akili?Kitendo cha kuwa maskini ni wazi umeshindwa kutumia akili kwa hiyo option uliyonayo ni nguvu
Hakuna mtu anayetumia akili akawa maskini
Maskini wamepungukiwa na maarifa (akili) ya kutafuta helaHujui unalolizungumza wewe jamaa. Unataka kusema maskini wote hawana akili?
Mbona wadada wa kazi,shambaboy,walinzi mnawageuza watumwaMiaka minne nyuma niliwahi andika kuhusu hili soma 👉🏼Hatutaki viwanda vinavyotugeuza watumwa na mateka wa nchi yetu wenyewe