Yanayofichwa ni haya: Wabongo walioletwa kutoka S.Africa wengi ni vichaa na mateja

Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa

Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona

Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
Hao wahuni ni ccm au chadema ?
 
Miaka ya 2014-15 kuna kajamaa Sinza kalizamia na kuanza kufanya biashara kule, kakawa kanajifanya kanauza simu!
Kalikuwa kamependeza kweli kweli na ma confidence ya kufa mtu!
Nilisikitika kalifariki kwa kushindwa kuutoa mzigo tumboni! Kakakutwa kamechuchumaa chumbani gesti, mzigo ulipasuka!
Toka siku hiyo nakajuwa SA itatumalizia vijana wetu! Rip kwake, lakini kule nawashauri vijana HAPANA KWENDA!
 
Hebu weka picha/clips na sisi wengine tuwaone hao mateja.
 
Miaka ya 2014-15 kuna kajamaa Sinza kalizamia na kuanza kufanya biashara kule, kakawa kanajifanya kanauza simu!
Kalikuwa kamependeza kweli kweli na ma confidence ya kufa mtu!
Nilisikitika kalifariki kwa kushindwa kuutoa mzigo tumboni! Kakakutwa kamechuchumaa chumbani gesti, mzigo ulipasuka!
Toka siku hiyo nakajuwa SA itatumalizia vijana wetu! Rip kwake, lakini kule nawashauri vijana HAPANA KWENDA!

Hii kitu nusu na mie niingie mtegoni, ila hapa Mjini usipokua makini unajikuta umepoteza dira na ramani.
Yaan ilibaki kidogo ninase, sijui sahivi ningekua punda mzoefu, au nishakamatwa, au nishakufa.
Uwiiiiooh.
 
Picha
Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa

Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona

Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
 
Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa

Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona

Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
WANYONGWE TU HAWANA MAANA
 
Wabongo walioko SA wanapiga issue za madawa na ukishakuwa kwenye hiyo bizness kuna % kubwa ya kuja kuwa teja....Ila sijamuona Y Dash -wa TMK Wanaume naye alikuwa Teja South.
 
Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa

Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona

Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
Hao ni wale mastorowei formless jobless mitaa yao ni Durban cape na. Joburg kule beach na mitaa mibovu... Hawana nyaraka zozote walishaoza kitambo
 
Back
Top Bottom