Yanayofichwa ni haya: Wabongo walioletwa kutoka S.Africa wengi ni vichaa na mateja

Yanayofichwa ni haya: Wabongo walioletwa kutoka S.Africa wengi ni vichaa na mateja

Tatizo wengi wao kabla hawajaondoka kwenda SA tayari walikuwa na tabia za hovyo na elimu duni. Wengi walikuwa vibaka. Kwa hiyo wakifika kule wanapata wakati mgumu sana kiuchumi na kuishia kwenye kazi za kihalifu. Hata wengi ambao wanaonekana hawajachoka utakuta wanajihusisha na uuzaji madawa ya kulevya. Vijana waliouwawa SA kwa sababu ya madawa ni wengi sana. Ni jukumu la kila mzazi/mlezi kupambania malezi ya watoto ili kuepusha mambo kama haya. Haya mambo ya kuzalisha mtu na kumtupa mtoto kwa bibi yake alelewe yana mchango mkubwa.
Wapo walio lelewa na bibi na still wakawa watu wa maana

Mfano ndejembi


All in all, RIp ulikua mbishi sana na uli ibaa na ukaenda south ukarudi kwa jeneza pumzika kwa amani comrade Joburg iyoo
 
Kukimbilia nje sio soultuion.
Tukubaliane ya kuwa matatizo hayakimbiwi
 
Kukimbilia nje sio soultuion.
Tukubaliane ya kuwa matatizo hayakimbiwi
Ni sahihi mkuu. Unakimbia matatizo ya huku ambako unauzoefu nako unakimbilia huko nje ambapo nako kuna matatizo halafu huna uzoefu na changamoto za huko.
 
Imagine una lundo la watu wa dizaini Ile nchini kwako ukiwatoa unaitwa mbaguzi, wasouth wamefanya jambo la msingi San kuwa timua hawa vichaa nchini mwao.
 
At least itakuwa wanatuzidi kuongea kiingereza 😄😄
Hahahaaa! Kuongea kingereza? mbona hata hapa Bongo ukitulia bado unaweza pia kuongea kingereza? Haya sasa; hapo na hali yao hiyo ilivo wataongea na nani na kuhusu nini?
 
Na wengi ni watoto wa Kizanzibari,yupo mmoja miaka ya nyuma tulikuwa wote Dar Lumumba pale tukifanya car accessories mwaka 2005 akaondoka bondeni 2007 wakampiga chuma kwa tamaa zake za dhulma.
 
Imagine una lundo la watu wa dizaini Ile nchini kwako ukiwatoa unaitwa mbaguzi, wasouth wamefanya jambo la msingi San kuwa timua hawa vichaa nchini mwao.
Yep! Kumbe walikuwa wanakula na kujaza vyoo tu huko bondeni hawazalishi chochote?
Ukisikia "Mwana kulitafuta mwana kulipata" ndo hivo.
 
Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa

Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona

Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
Hao wengi ni wa Cape Town ni vibaka waliokubuhu pale kituo kikuu cha treni, wengi wanaishi kwenye mapagale na ni wabwia unga hatari kuchomana visu kwao ni sawa na kumpiga busu mchumba. hawa ni mzigo kwa jamaa zao waliobaki huku, akili zao ni kama za yule kijana wa Mwanayamala Kisiwani aliyewaua wazazi wake.
 
Wabongo walioko SA wanapiga issue za madawa na ukishakuwa kwenye hiyo bizness kuna % kubwa ya kuja kuwa teja....Ila sijamuona Y Dash -wa TMK Wanaume naye alikuwa Teja South.
Mwenzie YP nae alitanguliaga mbele za haki walikua na songi lao kali sana linaitwa shemsa
 
Hao wengi ni wa Cape Town ni vibaka waliokubuhu pale kituo kikuu cha treni, wengi wanaishi kwenye mapagale na ni wabwia unga hatari kuchomana visu kwao ni sawa na kumpiga busu mchumba. hawa ni mzigo kwa jamaa zao waliobaki huku, akili zao ni kama za yule kijana wa Mwanayamala Kisiwani aliyewaua wazazi wake.
Norma sana
 
Back
Top Bottom