Yanayofichwa ni haya: Wabongo walioletwa kutoka S.Africa wengi ni vichaa na mateja

Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa

Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona

Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
Swali uaminifu wao upo vipi , isije kua wamekuja kimkakati kama yale ya 29 Oct, wako chini ya uangalizi kwa mda gani , hawa bila mikakati ya nchi tunaweza pigwa tukio moja na takatifu ,mnakumbuka sakata la MO kutekwa walisema watekaji wametoka S.A hawa wanaorejea kamw Taifa tumejipangaje?

Inatakiwa kuwa na kwmbi muhimu na kuwa chini ya uangalizi for 12 months, ila wawe huru wanaotaka kurudi warudi huko.

Wasiwasi ndo akili.
 
Kuhusu MO ilikuwa uongo
 
We ulienda lini Afrika Kusini, acha kutupiga fiksi, wewe si unashinda kwenye vijiwe vya kahawa apo mwembeyanga
 
Wagonjwa wa Afya ya Akili ni wengi humu JF. Sasa hao jamaa kurudishwa toka South Africa, CCM inahusikaje hapo? Na waliorudishwa Nigeria, Congo DR, Uganda, Ghana na kwingineko Afrika, CCM inahusika?
Wangekutwa wanne wameuawa hilohilo lingekuja kusema CCM imeshindwa... Hayanaga jema wala akili yanawaza kwa kutumia shimo la nyuma.
 
Swali uaminifu wao upo vipi , isije kua wamekuja kimkakati kama yale ya 29 Oct, wako chini ya uangalizi kwa mda gani , hawa bila mikakati ya nchi tunaweza pigwa tukio moja na takatifu ,mnakumbuka sakata la MO kutekwa walisema watekaji wametoka S.A hawa wanaorejea kamw Taifa tumejipangaje?

Inatakiwa kuwa na kwmbi muhimu na kuwa chini ya uangalizi for 12 months, ila wawe huru wanaotaka kurudi warudi huko.

Wasiwasi ndo akili.
Watu wenyewe umewaona kwanza?
Binafsi nina ndugu angu yeye si teja ila sizani hata 2kg anaweza nyanyua ndo mtu kama huyo alete fujo?
 
Heey! Ngoja ale dona kwa dagaa siku mbili; utashangaa amekuwa baunsa.
Umri umemtupa 65yrs kurudisha mwili si mchezo boss.
Huyu aende bush tu hata akaoe walau apate hata katoto kabla ya kuhiyimisha maisha.
Tz kama unamichongo aisee ni kuzuri sana.
 
Ni Kweli lakini kwa hapo Bongo, maugali, mamihogo,maViazi n.k. yamejaa kedekede halafu yanapatikana kiurahisi bila jasho esp. huku vijijini hata kwa kuomba tuu mtu anapewa furushi.
 
Wengi wao walivamia kwa madiba kwa kufuata mkumbo wakiamini huko kuna maisha mazuri bila kuwa na mpango mkakati, hali waliyokutana nayo ikawa kinyume na matarajio yao
Hii ni shida ya malezi. Wazaz wengi wanashindwa kusimama eneo lao matokeo yake watoto wanakuwa chochote kitu

Kama umeshindwa kutoboa TZ hata ukija majuu you won’t have plan maana huku ni pagumu panahitaji clear mind

Huku huwezi kulimq Bali utalimishwq

Huwezi kuchoma maindi au kufungua duka la Mangi
 
Hao watu wameondolewa kule kwa kutokua na vibali rasmi hali iliyofanya wakose kazi ndio maana wakatumbukia kwenye madawa na kuwa vibaka.

Sasa wanarudishwa wakiwa wamechoka , hawana nguvu shauri ya athari ya madawa ya kulevya na bado hawatakua na kazi tena ndio janga jipya mmeletewa mtaani.
 
Wangekutwa wanne wameuawa hilohilo lingekuja kusema CCM imeshindwa... Hayanaga jema wala akili yanawaza kwa kutumia shimo la nyuma.
Watu wa ajabu kabisa hawa. Tukisema ni wagonjwa wa Afya ya Akili wanaloloma eri wametukanwa!
 
Hii kitu nusu na mie niingie mtegoni, ila hapa Mjini usipokua makini unajikuta umepoteza dira na ramani.
Yaan ilibaki kidogo ninase, sijui sahivi ningekua punda mzoefu, au nishakamatwa, au nishakufa.
Uwiiiiooh.
Yaani hata mimi ashukuriwe bi mkubwa aliingilia kati 🤣
Kinondoni ilikua ya moto sana jamani 🙌
 
Back
Top Bottom