Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Ungekua jela au ushakufa maana punda wote wakiingia jela mwenye punda hana mpango nae tena jamaa wana roho ya kikatili Simba wa mikumi anasubiri sanaHii kitu nusu na mie niingie mtegoni, ila hapa Mjini usipokua makini unajikuta umepoteza dira na ramani.
Yaan ilibaki kidogo ninase, sijui sahivi ningekua punda mzoefu, au nishakamatwa, au nishakufa.
Uwiiiiooh.