Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Ungekua jela au ushakufa maana punda wote wakiingia jela mwenye punda hana mpango nae tena jamaa wana roho ya kikatili Simba wa mikumi anasubiri sanaHii kitu nusu na mie niingie mtegoni, ila hapa Mjini usipokua makini unajikuta umepoteza dira na ramani.
Yaan ilibaki kidogo ninase, sijui sahivi ningekua punda mzoefu, au nishakamatwa, au nishakufa.
Uwiiiiooh.
Waliorudishwa TZ ni hobos ndiyo maana connection yao na CCM iko obvious, hao wengine wana familia zao, wanaishi maisha ya kawaida kwakuwa hawako connected na CCM.Wagonjwa wa Afya ya Akili ni wengi humu JF. Sasa hao jamaa kurudishwa toka South Africa, CCM inahusikaje hapo? Na waliorudishwa Nigeria, Congo DR, Uganda, Ghana na kwingineko Afrika, CCM inahusika?
Ongezea, zaidi ya nusu ni 'VIBOGOYO'Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa
Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona
Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
Lakini huwa tunasema bora huko nje, hapa CCM haitoi ajira. Imekuwaje tena. Japo CCM yangu siipendi kihiivyo.Sijaona timamu hata mmoja, CCM imetuletea balaa
Shida tunaamini kwamba nje maisha ni mazuri hata bila kufanya kazi kitu ambacho ni uongo. Hao wengi walienda bila kufuata taratibu, hawakuwa na nyaraka yoyote ya kuwatambulisha, kwa hiyo ilikuwa ngumu kupata kazi rasmi. Inaonekana wengi waliishia kuuza madawa. Bora Serikali imefanya jambo jema kuwarudisha, na ilitakiwa pia iwahudumie baada ya kufika hapa bongo.Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa
Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona
Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
Wabongo wengi ndo kazi zao kule na mibangiMiaka ya 2014-15 kuna kajamaa Sinza kalizamia na kuanza kufanya biashara kule, kakawa kanajifanya kanauza simu!
Kalikuwa kamependeza kweli kweli na ma confidence ya kufa mtu!
Nilisikitika kalifariki kwa kushindwa kuutoa mzigo tumboni! Kakakutwa kamechuchumaa chumbani gesti, mzigo ulipasuka!
Toka siku hiyo nakajuwa SA itatumalizia vijana wetu! Rip kwake, lakini kule nawashauri vijana HAPANA KWENDA!
Dah!Waliorudishwa TZ ni hobos ndiyo maana connection yao na CCM iko obvious, hao wengine wana familia zao, wanaishi maisha ya kawaida kwakuwa hawako connected na CCM.
Is this truth hard to grasp?
Haichekeshi.Unataka kusema CHADEMA wamepata nguvukazi?
Hawa mateja na vichaa wanatishia ajira ya naniAiseeee
Walioenda souzi wengi ni mateja wasio na elimu wala ujuzi, ndio maana wamerudi wamepinda zaidiLakini huwa tunasema bora huko nje, hapa CCM haitoi ajira. Imekuwaje tena. Japo CCM yangu siipendi kihiivyo.
Ujanja mwingi mbele...Hii kitu nusu na mie niingie mtegoni, ila hapa Mjini usipokua makini unajikuta umepoteza dira na ramani.
Yaan ilibaki kidogo ninase, sijui sahivi ningekua punda mzoefu, au nishakamatwa, au nishakufa.
Uwiiiiooh.
Huna akiliHawana tofauti na wafuasi wa chadema
Y -Dash nae kawa teja jamanii😭😭😭😭Wabongo walioko SA wanapiga issue za madawa na ukishakuwa kwenye hiyo bizness kuna % kubwa ya kuja kuwa teja....Ila sijamuona Y Dash -wa TMK Wanaume naye alikuwa Teja South.
Picha tafadhali..Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua