4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Swali uaminifu wao upo vipi , isije kua wamekuja kimkakati kama yale ya 29 Oct, wako chini ya uangalizi kwa mda gani , hawa bila mikakati ya nchi tunaweza pigwa tukio moja na takatifu ,mnakumbuka sakata la MO kutekwa walisema watekaji wametoka S.A hawa wanaorejea kamw Taifa tumejipangaje?Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa
Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona
Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
Kuhusu MO ilikuwa uongoSwali uaminifu wao upo vipi , isije kua wamekuja kimkakati kama yale ya 29 Oct, wako chini ya uangalizi kwa mda gani , hawa bila mikakati ya nchi tunaweza pigwa tukio moja na takatifu ,mnakumbuka sakata la MO kutekwa walisema watekaji wametoka S.A hawa wanaorejea kamw Taifa tumejipangaje?
Inatakiwa kuwa na kwmbi muhimu na kuwa chini ya uangalizi for 12 months, ila wawe huru wanaotaka kurudi warudi huko.
Wasiwasi ndo akili.
Hivi kumbe kule walipelekwaga na CCM?Sijaona timamu hata mmoja, CCM imetuletea balaa
eeEE'! Unasemaje ati?Kuhusu MO ilikuwa uongo
Exactly. Kweli Uzi huu bila picha utakuwa ni batili kabisa.Kapicha tafadhali.
Kama hapo ni Makete au Njombe yupo sawa.Mmoja tupo nae hapa mtaani ameshaanza kupiga roba za mbao kama zamani....muda wote anavaa makoti ya baridi
Una hoja nzito hapa. Inatakiwa ipate majibu sawia.Wagonjwa wa Afya ya Akili ni wengi humu JF. Sasa hao jamaa kurudishwa toka South Africa, CCM inahusikaje hapo? Na waliorudishwa Nigeria, Congo DR, Uganda, Ghana na kwingineko Afrika, CCM inahusika?
We ulienda lini Afrika Kusini, acha kutupiga fiksi, wewe si unashinda kwenye vijiwe vya kahawa apo mwembeyangaInasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa
Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona
Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
Akiondoka hapo kijiweni huwa anakuaga?We ulienda lini Afrika Kusini, acha kutupiga fiksi, wewe si unashinda kwenye vijiwe vya kahawa apo mwembeyanga
Wangekutwa wanne wameuawa hilohilo lingekuja kusema CCM imeshindwa... Hayanaga jema wala akili yanawaza kwa kutumia shimo la nyuma.Wagonjwa wa Afya ya Akili ni wengi humu JF. Sasa hao jamaa kurudishwa toka South Africa, CCM inahusikaje hapo? Na waliorudishwa Nigeria, Congo DR, Uganda, Ghana na kwingineko Afrika, CCM inahusika?
Watu wenyewe umewaona kwanza?Swali uaminifu wao upo vipi , isije kua wamekuja kimkakati kama yale ya 29 Oct, wako chini ya uangalizi kwa mda gani , hawa bila mikakati ya nchi tunaweza pigwa tukio moja na takatifu ,mnakumbuka sakata la MO kutekwa walisema watekaji wametoka S.A hawa wanaorejea kamw Taifa tumejipangaje?
Inatakiwa kuwa na kwmbi muhimu na kuwa chini ya uangalizi for 12 months, ila wawe huru wanaotaka kurudi warudi huko.
Wasiwasi ndo akili.
Heey! Ngoja ale dona kwa dagaa siku mbili; utashangaa amekuwa baunsa.Watu wenyewe umewaona kwanza?
Binafsi nina ndugu angu yeye si teja ila sizani hata 2kg anaweza nyanyua ndo mtu kama huyo alete fujo?
Umri umemtupa 65yrs kurudisha mwili si mchezo boss.Heey! Ngoja ale dona kwa dagaa siku mbili; utashangaa amekuwa baunsa.
Ni Kweli lakini kwa hapo Bongo, maugali, mamihogo,maViazi n.k. yamejaa kedekede halafu yanapatikana kiurahisi bila jasho esp. huku vijijini hata kwa kuomba tuu mtu anapewa furushi.Umri umemtupa 65yrs kurudisha mwili si mchezo boss.
Huyu aende bush tu hata akaoe walau apate hata katoto kabla ya kuhiyimisha maisha.
Tz kama unamichongo aisee ni kuzuri sana.
Hii ni shida ya malezi. Wazaz wengi wanashindwa kusimama eneo lao matokeo yake watoto wanakuwa chochote kituWengi wao walivamia kwa madiba kwa kufuata mkumbo wakiamini huko kuna maisha mazuri bila kuwa na mpango mkakati, hali waliyokutana nayo ikawa kinyume na matarajio yao
Bahati mbaya HAKUNA wa kutoa majibu humu!Una hoja nzito hapa. Inatakiwa ipate majibu sawia.
Watu wa ajabu kabisa hawa. Tukisema ni wagonjwa wa Afya ya Akili wanaloloma eri wametukanwa!Wangekutwa wanne wameuawa hilohilo lingekuja kusema CCM imeshindwa... Hayanaga jema wala akili yanawaza kwa kutumia shimo la nyuma.
Yaani hata mimi ashukuriwe bi mkubwa aliingilia kati 🤣Hii kitu nusu na mie niingie mtegoni, ila hapa Mjini usipokua makini unajikuta umepoteza dira na ramani.
Yaan ilibaki kidogo ninase, sijui sahivi ningekua punda mzoefu, au nishakamatwa, au nishakufa.
Uwiiiiooh.
Ajira ya ukabaji hasa maeneo ya beachHawa mateja na vichaa wanatishia ajira ya nani?