Yanayofichwa ni haya: Wabongo walioletwa kutoka S.Africa wengi ni vichaa na mateja

Wapo walio lelewa na bibi na still wakawa watu wa maana

Mfano ndejembi


All in all, RIp ulikua mbishi sana na uli ibaa na ukaenda south ukarudi kwa jeneza pumzika kwa amani comrade Joburg iyoo
 
Kukimbilia nje sio soultuion.
Tukubaliane ya kuwa matatizo hayakimbiwi
 
Kukimbilia nje sio soultuion.
Tukubaliane ya kuwa matatizo hayakimbiwi
Ni sahihi mkuu. Unakimbia matatizo ya huku ambako unauzoefu nako unakimbilia huko nje ambapo nako kuna matatizo halafu huna uzoefu na changamoto za huko.
 
Imagine una lundo la watu wa dizaini Ile nchini kwako ukiwatoa unaitwa mbaguzi, wasouth wamefanya jambo la msingi San kuwa timua hawa vichaa nchini mwao.
 
At least itakuwa wanatuzidi kuongea kiingereza 😄😄
Hahahaaa! Kuongea kingereza? mbona hata hapa Bongo ukitulia bado unaweza pia kuongea kingereza? Haya sasa; hapo na hali yao hiyo ilivo wataongea na nani na kuhusu nini?
 
Na wengi ni watoto wa Kizanzibari,yupo mmoja miaka ya nyuma tulikuwa wote Dar Lumumba pale tukifanya car accessories mwaka 2005 akaondoka bondeni 2007 wakampiga chuma kwa tamaa zake za dhulma.
 
Imagine una lundo la watu wa dizaini Ile nchini kwako ukiwatoa unaitwa mbaguzi, wasouth wamefanya jambo la msingi San kuwa timua hawa vichaa nchini mwao.
Yep! Kumbe walikuwa wanakula na kujaza vyoo tu huko bondeni hawazalishi chochote?
Ukisikia "Mwana kulitafuta mwana kulipata" ndo hivo.
 
Hao wengi ni wa Cape Town ni vibaka waliokubuhu pale kituo kikuu cha treni, wengi wanaishi kwenye mapagale na ni wabwia unga hatari kuchomana visu kwao ni sawa na kumpiga busu mchumba. hawa ni mzigo kwa jamaa zao waliobaki huku, akili zao ni kama za yule kijana wa Mwanayamala Kisiwani aliyewaua wazazi wake.
 
Wabongo walioko SA wanapiga issue za madawa na ukishakuwa kwenye hiyo bizness kuna % kubwa ya kuja kuwa teja....Ila sijamuona Y Dash -wa TMK Wanaume naye alikuwa Teja South.
Mwenzie YP nae alitanguliaga mbele za haki walikua na songi lao kali sana linaitwa shemsa
 
Norma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…