heretostay
Member
- Sep 13, 2024
- 81
- 100
Hawataki kuwaudhi wapigakura...Hakika mkuu,pale kwa msuguri round about kama unatokea bochi hospital kona ya kuingilia mbezi,bajaj na boda boda zimegeuza kituo,na wamachinga wameanza kuweka meza zao barabarani kabisa,so ukiwa unatokea bochi kuingia moro road inabidi utoke nje ya barabara kuwakwepa wao,siku ikitokea ajali pale mamlaka ndio zitashtuka
Kwani ww unakaa mitaa gani!?Poleni Sana wana kimara-stopOver,
Hapo jirani Kimara Suka ndo home nilikokulia mpk Nmefika kutoka home kwenda kujitegemea😢
Sheria hazina neno. Tatizo ni ufuatiliaji na utekelezaji. Magari mabovu. Madereva wasio na sifa. Polisi kutowajibika.Sheria za barabarani zisipo pitiwa upya na ziwe sheria Kali, watanganyika, wataumia sana!
Swali zuri sana hili. Mipango ya watu kakaHivi kwanini lile wazo la dry port kuwa ruvu halikufanyiwa kazi
Ova
Ila kwala, chalinze kuna dryport mizigo ya transit na ile inayo over stay inapelekwa hukoSwali zuri sana hili. Mipango ya watu kaka
Huwa nasema lakini sisikiki. Mwafrika hana akili za kujitawala mwenyewe.Hakika mkuu,pale kwa msuguri round about kama unatokea bochi hospital kona ya kuingilia mbezi,bajaj na boda boda zimegeuza kituo,na wamachinga wameanza kuweka meza zao barabarani kabisa,so ukiwa unatokea bochi kuingia moro road inabidi utoke nje ya barabara kuwakwepa wao,siku ikitokea ajali pale mamlaka ndio zitashtuka
Hapa sasa malengo yako itakuwa ni kutuua sisi ccm woteI WISH TO BE THE PRESIDENT OF THIS COUNTRY AND KILL ALL THE BUNCHES OF FOOLISHNESS.
Mafund waje wadadavue brake zote zinafelijeLori lina breki tatu
Engine Brake
Air Brake
Spring Break
Zinafelije zote ?
Kwahiyo bila Shaka Midlands high school ni mitaa yako ? Itoshe kusema nina historia kubwa na maeneo hayo .Poleni Sana wana kimara-stopOver,
Hapo jirani Kimara Suka ndo home nilikokulia mpk Nmefika kutoka home kwenda kujitegemea😢
Si ajabu alisinziaUzembe wa dereva, kufeli breki ni excuse tu.
Ila pia boda kila siku wanaambiwa msipaki njianiSi ajabu alisinzia
Halafu wakishakufa ndio hawa wanakimbilia ku type R.I.PMasikini wanakufa kiholela sana.
Waafrika wengi wanakufa sana kutokana na uzembe, ujinga na upumbavu.Ila pia boda kila siku wanaambiwa msipaki njiani
Panajengwa kwala yataishia paleUkiniuliza malori yanatoka bandarini yanakuja mjini huku kutafuta nn. Ni Ujinga wa CCM huu. Yan lory litoke kurasini lije ubungo then liende chalinze 😂😂 akili za CCM wanazijua wenyewe
Kuna siku nilikuwa hapo ubungo Riverside.Malori mengi n mabovu MNO!! Tena na rock z kontena hazifungi (mbovu) kabisaa.
KAZI ni kipimo cha utu
Nasema kila siku humu,madereva wapumbavu wengi sana. Wanaendesha kama mbuzi tu hawafuati utaratibu hata wa kusubiri taa.Halafu wakishakufa ndio hawa wanakimbilia ku type R.I.P
Mara Mungu awalinde, Mara Mungu awaponye. Kumbe ni ujinga, uzembe na upumbavu wao ndio unawamaliza kila siku.
Kusafiri katika barabara za Afrika ni hatari sana.
Mijitu inajiendea tu pakachu pakachu kama mapanya.
Hapa sasaiv wanatafuta wakumuangushia lawamaWaafrika wengi wanakufa sana kutokana na uzembe, ujinga na upumbavu.
Kwenye barabara za Afrika kuna makosa mengi sana ambayo watu wanaya fanya na wanayachukulia poa, Halafu ajali ikishatokea ndio wanakurupuka huko kuchukua hatua.
Mfano ni kawaida kukuta mtu anatembeza biashara yake kwenye barabara. Unakuta mama na beseni lake anatembeza matunda kwenye barabara. Halafu wanaachwa tu.
Kwenye hii barabara ya Mandela kwanzia hapa Buguruni Bakhressa. Wafanyabishara wanauza biashara zao barabarani kabisa. Malori, daladala, treni, pikipiki, bajaji vyote humohumo.