Yanayojiri ajali ya Lori Stop Over-Kimara: Miili 3 na bodaboda 6 zatolewa, zoezi la kuondoa lori linaendelea

Hakika mkuu,pale kwa msuguri round about kama unatokea bochi hospital kona ya kuingilia mbezi,bajaj na boda boda zimegeuza kituo,na wamachinga wameanza kuweka meza zao barabarani kabisa,so ukiwa unatokea bochi kuingia moro road inabidi utoke nje ya barabara kuwakwepa wao,siku ikitokea ajali pale mamlaka ndio zitashtuka
Hawataki kuwaudhi wapigakura...
 
Yote haya yamesababishwa na serikali ya hovyo ya ccm Kwa kushindwa kusimamia Sheria za usalama barabarani hasa ukaguzi wa magari.
 
Hakika mkuu,pale kwa msuguri round about kama unatokea bochi hospital kona ya kuingilia mbezi,bajaj na boda boda zimegeuza kituo,na wamachinga wameanza kuweka meza zao barabarani kabisa,so ukiwa unatokea bochi kuingia moro road inabidi utoke nje ya barabara kuwakwepa wao,siku ikitokea ajali pale mamlaka ndio zitashtuka
Huwa nasema lakini sisikiki. Mwafrika hana akili za kujitawala mwenyewe.
 
Huwa nakosa sana amani nikiwa navuka yale mataa ya stopover, boda boda na bajaji hawajali kabisa kama taa nyekundu zimewaka wao wanapita tu!
 
Poleni Sana wana kimara-stopOver,
Hapo jirani Kimara Suka ndo home nilikokulia mpk Nmefika kutoka home kwenda kujitegemea😢
Kwahiyo bila Shaka Midlands high school ni mitaa yako ? Itoshe kusema nina historia kubwa na maeneo hayo .

Poleni Wana kimaara ,Beatrice Irunde uko wapi ndugu ?
 
Masikini wanakufa kiholela sana.
Halafu wakishakufa ndio hawa wanakimbilia ku type R.I.P

Mara Mungu awalinde, Mara Mungu awaponye. Kumbe ni ujinga, uzembe na upumbavu wao ndio unawamaliza kila siku.

Kusafiri katika barabara za Afrika ni hatari sana.

Mijitu inajiendea tu pakachu pakachu kama mapanya.
 
Ila pia boda kila siku wanaambiwa msipaki njiani
Waafrika wengi wanakufa sana kutokana na uzembe, ujinga na upumbavu.

Kwenye barabara za Afrika kuna makosa mengi sana ambayo watu wanaya fanya na wanayachukulia poa, Halafu ajali ikishatokea ndio wanakurupuka huko kuchukua hatua.

Mfano ni kawaida kukuta mtu anatembeza biashara yake kwenye barabara. Unakuta mama na beseni lake anatembeza matunda kwenye barabara. Halafu wanaachwa tu.

Kwenye hii barabara ya Mandela kwanzia hapa Buguruni Bakhressa. Wafanyabishara wanauza biashara zao barabarani kabisa. Malori, daladala, treni, pikipiki, bajaji vyote humohumo.
 
Malori mengi n mabovu MNO!! Tena na rock z kontena hazifungi (mbovu) kabisaa.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ukiniuliza malori yanatoka bandarini yanakuja mjini huku kutafuta nn. Ni Ujinga wa CCM huu. Yan lory litoke kurasini lije ubungo then liende chalinze 😂😂 akili za CCM wanazijua wenyewe
Panajengwa kwala yataishia pale
 
Malori mengi n mabovu MNO!! Tena na rock z kontena hazifungi (mbovu) kabisaa.
KAZI ni kipimo cha utu
Kuna siku nilikuwa hapo ubungo Riverside.

Lori lika angusha kontena, Bahati nzuri kontena hilo lilianguka chini kwenye ule uwazi unaotenganisha barabara mbili.

La sivyo lingeanguka upande wa pili, lingeponda magari na kuua watu.
 
Halafu wakishakufa ndio hawa wanakimbilia ku type R.I.P

Mara Mungu awalinde, Mara Mungu awaponye. Kumbe ni ujinga, uzembe na upumbavu wao ndio unawamaliza kila siku.

Kusafiri katika barabara za Afrika ni hatari sana.

Mijitu inajiendea tu pakachu pakachu kama mapanya.
Nasema kila siku humu,madereva wapumbavu wengi sana. Wanaendesha kama mbuzi tu hawafuati utaratibu hata wa kusubiri taa.
 
Waafrika wengi wanakufa sana kutokana na uzembe, ujinga na upumbavu.

Kwenye barabara za Afrika kuna makosa mengi sana ambayo watu wanaya fanya na wanayachukulia poa, Halafu ajali ikishatokea ndio wanakurupuka huko kuchukua hatua.

Mfano ni kawaida kukuta mtu anatembeza biashara yake kwenye barabara. Unakuta mama na beseni lake anatembeza matunda kwenye barabara. Halafu wanaachwa tu.

Kwenye hii barabara ya Mandela kwanzia hapa Buguruni Bakhressa. Wafanyabishara wanauza biashara zao barabarani kabisa. Malori, daladala, treni, pikipiki, bajaji vyote humohumo.
Hapa sasaiv wanatafuta wakumuangushia lawama
 
Back
Top Bottom