Yanayojiri ajali ya Lori Stop Over-Kimara: Miili 3 na bodaboda 6 zatolewa, zoezi la kuondoa lori linaendelea

====

Saa 10 Usiku: Zoezi la kuondoa lori lililoparamia watu linaendelea

Bado vyombo vya uokoaji vinapambana kulinyanyua lori lililoacha barabara na kuparamia abiria na baadhi ya madereva bodaboda katika eneo la Kimara Stop Over jijini Dar Es Salaam.
=====

Saa Tisa Usiku: Kamanda Polisi Kinondoni, RPC Mtatiro Kitinkwi athibitisha Bodaboda 6 kutolewa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni RPC Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kuwa bodaboda sita zimetolewa chini ya lori ambalo liliacha njia na kuparamia abiria na madereva wa bodaboda katika eneo la Kimara Stop Over jijini Dar es Salaam.

Taarifa ya awali iliyothibitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila ilieleza kuwa miili ya watu watatu ilitolewa chini ya lori hilo wakati hadi kufikia saa 9:00 Usiku wakati zoezi la uokoaji likiendelea.

=====

Saa Tisa Usiku: Chalamila athibitisha ajali kutoke, Mili 3 yatolewa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amethibitisha kuwa miili mitatu imetolewa chini ya lori lililoacha barabara na kuanguka katika eneo la Stop Over Usiku wa kuamkia leo

Zoezi la kuliondoa lori hilo lenye namba za usajili T 908 BYM limeendelea ambapo kwa mujibu wa Chalamila hadi kufika saa 9 Usiku lilinyanyuliwa kwa zaidi ya asilimia 95%.

Pamoja miili hiyo mitatu jumla ya pikipiki Sita zimetolewa baada ya lori hilo kunyanyuliwa kwa asilimia hizo.

=====

Saa saba usiku

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia, baada ya lori kuacha njia na kuparamia waendesha bodaboda eneo la Stop Over, Kimara jijini Dar es Salaam.

Mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo iliyotokea usiku wa leo Ijumaa, Februari 14, 2025 wamesema huenda lori hilo limefeli breki.

Hadi muda huu ndo police wamefika wanafanya jitihada za kuokoa baadhi ya boda boda waliofunikwa na gari.

Aidha Polisi wametoka hapa kwenda kwa mchina kuomba gari lije lisaidie kuitoa hii gari maana kuna watu chini

Dah,so sadness
 
Malori na makontaina kupita mijini kwenye makazi wa watu!
Dar Haina By Pass kwa ajili ya malori!
BodaBoda,malori,mabasi,bajaji,watembea kwa miguu ,Kila kitu njia Moja, hii ni shida kubwa.

Viongozi wao wanapitishwa na ving'ora!!
 
Kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho hapo ni full hazard, ulikuwa ujenzi wa kipumbavu sana.

Kutoka pale zilipoanzia barabara sita shida kuu ni mwanga usiku na uzembe wa madereva, weekend usiku hilo eneo nalo ni hatari sana.

Miundo mbinu yetu bado sio rafiki sana na kunahitajika akili sana kutumia hizo barabara kwa madereva.
Bila kuwa na solution ya malori yanayotoka bandarini kutoka nje ya mji bado tutakuwa na tatizo hapo kwenye Kijiji cha wavuvi aka DSM.
Kuna wakati suluhu ya baadhi ya mambo hasa mkiwa mmeshakosea inakuja na gharama, sasa tusiogope kubeba gharama.

Aliyetoa wazo la Dry port Ruvu alikuwa na akili sana, tena ikiwezekana iwekwe Chalinze kabisa huko, Malori yoote yaishie hapo kwenye Dry port na kuanzia safari hapo.
Hiyo Dry port iwe kubwa sana, mizigo yote inayotoka Bandarini ibebwe na Train ipelekwe huko na kuwe na parking lot kuubwa sana ya malori na hiyo Dry port iwe kuubwa sana kuaccomodate mizigo yote ya Nyanda za juu na Nyanda ya kaskazini.
Kutoka hapo Chalinze unaijenga six lane to Mikese na to Dar es salaam - CASE CLOSED.

TUNACHELEWA SANA KUFIKIRI, VITU AMBAVYO TULIPASWA KUWAZA TOKA 1980 AKITOA WAZO MWANASIASA LEO ANAPIGIWA MAKOFI NA KUONEKANA BONGE LA GENIUS - I WISH TO BE THE PRESIDENT OF THIS COUNTRY AND KILL ALL THE BUNCHES OF FOOLISH.
 
Hiyo ni barabara ya machinjio.....mara nyingi sana magari hufeli breki yakifika barabara hiyo....nimeshuhudia mara kadhaa magari makubwa yakifeli breki na kugonga magari ya mbele kwenye mataa
 
Hivi ni sababu ipi ya msingi inayo sababisha bodaboda na machinga kufanyia biashara zao barabarani bila kuchukuliwa hatua?hatujifunzi yaani kila siku ni sikio la kufa tumeshasau kilichotoea kule Boko.
 
Na makontena yashawaangukia sana watu huko

Ova
 
Kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho hapo ni full hazard, ulikuwa ujenzi wa kipumbavu sana.

Kutoka pale zilipoanzia barabara sita shida kuu ni mwanga usiku na uzembe wa madereva, weekend usiku hilo eneo nalo ni hatari sana.

Miundo mbinu yetu bado sio rafiki sana na kunahitajika akili sana kutumia hizo barabara kwa madereva.
Bila kuwa na solution ya malori yanayotoka bandarini kutoka nje ya mji bado tutakuwa na tatizo hapo kwenye Kijiji cha wavuvi aka DSM.
Kuna wakati suluhu ya baadhi ya mambo hasa mkiwa mmeshakosea inakuja na gharama, sasa tusiogope kubeba gharama.

Aliyetoa wazo la Dry port Ruvu alikuwa na akili sana, tena ikiwezekana iwekwe Chalinze kabisa huko, Malori yoote yaishie hapo kwenye Dry port na kuanzia safari hapo.
Hiyo Dry port iwe kubwa sana, mizigo yote inayotoka Bandarini ibebwe na Train ipelekwe huko na kuwe na parking lot kuubwa sana ya malori na hiyo Dry port iwe kuubwa sana kuaccomodate mizigo yote ya Nyanda za juu na Nyanda ya kaskazini.
Kutoka hapo Chalinze unaijenga six lane to Mikese na to Dar es salaam - CASE CLOSED.

TUNACHELEWA SANA KUFIKIRI, VITU AMBAVYO TULIPASWA KUWAZA TOKA 1980 AKITOA WAZO MWANASIASA LEO ANAPIGIWA MAKOFI NA KUONEKANA BONGE LA GENIUS - I WISH TO BE THE PRESIDENT OF THIS COUNTRY AND KILL ALL THE BUNCHES OF FOOLISHNESS.
Hivi kwanini lile wazo la dry port kuwa ruvu halikufanyiwa kazi

Ova
 
Kwa Msuguri, Suka, Kibanda, Magari Saba na Kibamba zimekuwa sehemu za kuchinja watumiaji wa barabara. Sisi juzi pale magari saba kijana wetu alipasuka hapo hapo.
 
====

Saa 10 Usiku: Zoezi la kuondoa lori lililoparamia watu linaendelea

Bado vyombo vya uokoaji vinapambana kulinyanyua lori lililoacha barabara na kuparamia abiria na baadhi ya madereva bodaboda katika eneo la Kimara Stop Over jijini Dar Es Salaam.
=====

Saa Tisa Usiku: Kamanda Polisi Kinondoni, RPC Mtatiro Kitinkwi athibitisha Bodaboda 6 kutolewa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni RPC Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kuwa bodaboda sita zimetolewa chini ya lori ambalo liliacha njia na kuparamia abiria na madereva wa bodaboda katika eneo la Kimara Stop Over jijini Dar es Salaam.

Taarifa ya awali iliyothibitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila ilieleza kuwa miili ya watu watatu ilitolewa chini ya lori hilo wakati hadi kufikia saa 9:00 Usiku wakati zoezi la uokoaji likiendelea.

=====

Saa Tisa Usiku: Chalamila athibitisha ajali kutoke, Mili 3 yatolewa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amethibitisha kuwa miili mitatu imetolewa chini ya lori lililoacha barabara na kuanguka katika eneo la Stop Over Usiku wa kuamkia leo

Zoezi la kuliondoa lori hilo lenye namba za usajili T 908 BYM limeendelea ambapo kwa mujibu wa Chalamila hadi kufika saa 9 Usiku lilinyanyuliwa kwa zaidi ya asilimia 95%.

Pamoja miili hiyo mitatu jumla ya pikipiki Sita zimetolewa baada ya lori hilo kunyanyuliwa kwa asilimia hizo.

=====

Saa saba usiku

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia, baada ya lori kuacha njia na kuparamia waendesha bodaboda eneo la Stop Over, Kimara jijini Dar es Salaam.

Mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo iliyotokea usiku wa leo Ijumaa, Februari 14, 2025 wamesema huenda lori hilo limefeli breki.

Hadi muda huu ndo police wamefika wanafanya jitihada za kuokoa baadhi ya boda boda waliofunikwa na gari.

Aidha Polisi wametoka hapa kwenda kwa mchina kuomba gari lije lisaidie kuitoa hii gari maana kuna watu chini

RIP kwa marehemu, pole sana kwa wafiwa na majeruhi. Poleni sana.
 
Poleni wana kimara......

Nikifika ubungo kwenda mbele ni kumuomba Mungu hasa njia hiyo, nelson na kilwa road....... Malori ni mengi aaani

Mungu atulinde for sure
AJali nyingi za malori yanayoacha barabara, zinasababishwa na madereva wa malori hayo kusinzia wakiwa barabarani.
 
Kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho hapo ni full hazard, ulikuwa ujenzi wa kipumbavu sana.

Kutoka pale zilipoanzia barabara sita shida kuu ni mwanga usiku na uzembe wa madereva, weekend usiku hilo eneo nalo ni hatari sana.

Miundo mbinu yetu bado sio rafiki sana na kunahitajika akili sana kutumia hizo barabara kwa madereva.
Bila kuwa na solution ya malori yanayotoka bandarini kutoka nje ya mji bado tutakuwa na tatizo hapo kwenye Kijiji cha wavuvi aka DSM.
Kuna wakati suluhu ya baadhi ya mambo hasa mkiwa mmeshakosea inakuja na gharama, sasa tusiogope kubeba gharama.

Aliyetoa wazo la Dry port Ruvu alikuwa na akili sana, tena ikiwezekana iwekwe Chalinze kabisa huko, Malori yoote yaishie hapo kwenye Dry port na kuanzia safari hapo.
Hiyo Dry port iwe kubwa sana, mizigo yote inayotoka Bandarini ibebwe na Train ipelekwe huko na kuwe na parking lot kuubwa sana ya malori na hiyo Dry port iwe kuubwa sana kuaccomodate mizigo yote ya Nyanda za juu na Nyanda ya kaskazini.
Kutoka hapo Chalinze unaijenga six lane to Mikese na to Dar es salaam - CASE CLOSED.

TUNACHELEWA SANA KUFIKIRI, VITU AMBAVYO TULIPASWA KUWAZA TOKA 1980 AKITOA WAZO MWANASIASA LEO ANAPIGIWA MAKOFI NA KUONEKANA BONGE LA GENIUS - I WISH TO BE THE PRESIDENT OF THIS COUNTRY AND KILL ALL THE BUNCHES OF FOOLISHNESS.
DRY PORT ilisimamishwa na Marehemu kwa saab aliona sio fair biashara ya serikali apewe mtu mmoja eti kwa vile ni kada wa CCM.

Alipowapiga pini ndio wakashtuka daah, kumbe huyu sio mission town mwenzetu, wakakimbia nchi. Alipokufa wamerudi kugawana gawana mali za bandari. Lakini yana mwisho, mikataba ya Wafaransa mbona Traole kaifuta yote na Burkina Farso wametimka wote?
 
Pole nyingi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao.
 
Haya malori cheap ya Mchina yakianza kuchakaa yatatumaliza. Lori la Mchina linatakiwa litumike si zaidi ya miaka mitano na kuuzwa kama chuma chakavu
 
Back
Top Bottom