Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Hii ni kauli kali sana ambayo nimeisikia. Inawezekana kaapishwa na wana ccm kuwahughulikia wanaodai serikali 3. Inawezekana huo ndio mtazamo wake ili kupata kura zao. Nahofia ...
 
Kauli yake imenichefua sana. Yeye ni nani kama utashi wa wananchi ni kuvunja muungano? Stupid sita.
 

Binafsi nimependa msimamo wa huyu mzee.
 
Kwa uchaguzi huu kwanini Mwenyekiti asingesema tu wanaosema ndio kwa Samwel Sita au Hashim Rungwe waseme NDIOOOO au SIOOOO! kuliko kutupotezea muda bwana!
 
Heeh namna gani hapa namuona msaliti Zitto akipiga kura na vazi la kikamanda
 
Kwa uchaguzi huu kwanini Mwenyekiti asingesema tu wanasema ndio kwa Samwel Sita au Hashim Rungwe waseme NDIOOOO au SIOOOO! kuliko kutupotezea muda bwana!

kura ya siri ndio democrasia iliyokamili.
 
Tusubiri tuone
 
Lakini hili la 6 kuwatisha wale wanaotaka kvunja Muungano je ametumwa na nani? kwanini anaonesha hisia zake? kwanini yeye ndiye anayeenda kupitisha hayo maoni au wajumbe wengine?

Hapa kwa kweli amebugi! Alitakiwa asionyeshe hisia zake mapema! Hili litapunguza idadi kubwa ya kura zake! Wasiompenda Rungwe wataharibu kura zao!
 
Mh Samwel Sita akipiga kura yake alasiri hii
 

Attachments

  • 1394632594495.jpg
    43.7 KB · Views: 88
A man is all about confidence...Mr 6 Has got it
 
Kwa kweli hii kauli ni tata na mbaya...endapo mtu kama mtikila akipata shida yoyote bungeni....ataonekana ameshughulikiwa....

Mtu kama Mtikila ni wa kushughulikia tu, anaropoka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…