Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
Sitta, Lowasa wote hawa ni mashetani yanayoelekea uzeeni. Wote wanapozi kama watetezi wa wanyonge kumbe ni kwa sababu wanaelekea kubaya tu!
una laana hadi uzao wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitta, Lowasa wote hawa ni mashetani yanayoelekea uzeeni. Wote wanapozi kama watetezi wa wanyonge kumbe ni kwa sababu wanaelekea kubaya tu!
Ana maana gani?Hasa hasa neno "tutawashughulikia"
Kauli yake imenichefua sana. Yeye ni nani kama utashi wa wananchi ni kuvunja muungano? Stupid sita.Samuel Sitta,Alipokua akijinadi Kuomba Kura kwa Wajumbe Wa Bunge Maalumu la Katiba Katika Nafasi ya Uenyekiti wa Bunge hilo leo Amedai kua Endapo atapata Nafasi ya Kua M/kiti atawashughulikia Wajumbe wanaopinga Muungano.
Amedai kua Yeye ni Muumini wa Muungano Hivyo hayupo tayari kuona Muungano Unavunjika.
Samuel Sitta,Alipokua akijinadi Kuomba Kura kwa Wajumbe Wa Bunge Maalumu la Katiba Katika Nafasi ya Uenyekiti wa Bunge hilo leo Amedai kua Endapo atapata Nafasi ya Kua M/kiti atawashughulikia Wajumbe wanaopinga Muungano.
Amedai kua Yeye ni Muumini wa Muungano Hivyo hayupo tayari kuona Muungano Unavunjika.
Ana maana gani?
Huu uzi unakimbia mno
Sawa sawa...
Kwa uchaguzi huu kwanini Mwenyekiti asingesema tu wanasema ndio kwa Samwel Sita au Hashim Rungwe waseme NDIOOOO au SIOOOO! kuliko kutupotezea muda bwana!
Tusubiri tuoneSamuel Sitta,Alipokua akijinadi Kuomba Kura kwa Wajumbe Wa Bunge Maalumu la Katiba Katika Nafasi ya Uenyekiti wa Bunge hilo leo Amedai kua Endapo atapata Nafasi ya Kua M/kiti atawashughulikia Wajumbe wanaopinga Muungano.
Amedai kua Yeye ni Muumini wa Muungano Hivyo hayupo tayari kuona Muungano Unavunjika.
Lakini hili la 6 kuwatisha wale wanaotaka kvunja Muungano je ametumwa na nani? kwanini anaonesha hisia zake? kwanini yeye ndiye anayeenda kupitisha hayo maoni au wajumbe wengine?
ccm hatuna visa visivyo isha kama machadema
Kwa kweli hii kauli ni tata na mbaya...endapo mtu kama mtikila akipata shida yoyote bungeni....ataonekana ameshughulikiwa....