Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Kwa wanaofatilia sasa hivi mchakato wa upigaji kura kwenye channel ya tbc watakubaliani nami kwamba mh. sita ameshinda dhidi ya mgombea mwenzake ambae ameonekana ana hoja dhaifu ikiwamo ya kujisifia kwamba ye ndo mwafrika wa kwanza kuwa na yard ya kuuza magari, kitu ambacho wataalam wa mambo ya siasa wanasema ushindani huo hauna uwiano ni sawa kupambanisha mlima kilimanjaro na kichuguu
 
Kura imepigwa ya siri mkuu Katavi pole sana na mihangaiko.
 
Last edited by a moderator:
jamani jamani Kificho yuko makini sana,hata ukimuuliza swali la kizushi atakujibu
 
Dah, wadau. Kumbwe Mwenyekiti Kificho hajui kutamka neno Falsafa. Anatamka Salfasa. Ila simshangai sana kwani kuna wengi tuna matatizo ya matamshi
 
Mkuu Nyange hamna kura ya wazi popote pale ata China ambao wana baraza kuu la kikomunisti kura yao ni ya siri.
sasa waliokuwa wanataka kura ya wazi utaratibu huo wameutoa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Namwona kificho anajisomea chapisho flani ila sijui linahusu nini
 

Wabunge ndiyo watakaoamua kama kauli ya SITTA ni mbaya au la, wewe huozi kuona umuhimu wa Kauli ya SITTA na hapo ndipo tunakosea kuwahukumu watu. Kuna kosa gani SITTA kuonesha msimamo wake? Kura zimepigwa nitashangaa kuona wewe unapingana na kauli ya SITTA wakati anazoa kura zote zikiwemo za wapinzani.
 

Nani kakuambia S3 kuvunja muungano
 
Kassimu Majaliwa namwona yupo jirani na mzee flani hapa anafanana na Wasira ila si Wasira
 
MAAJABU!


Mbona wamepiga kura ya siri mimi nilijuwa watapiga ya wazi maana walisema ndio demokrasia
 
Uzuri wa Watanzania ni kwamba wakipenda wamependa.

Hivyo hata ingetokea Sitta amewatukana hao wajumbe wote wa bunge maalumu, bado tu wangempa kura.
 
Namwona kificho anajisomea chapisho flani ila sijui linahusu nini
Mkuu, nipo kwa juu yake na namchungulia namuona anasoma vi.note fulani. Pengine ndo vimemo vya wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…