Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuuZoezi la upigaji kura limemalizika tusubiri matokeo.Wagombea wanachagua mawakala.Sita amemchagua mwana mama mh Bahati Ally Abeid na Rungwe amemchagua Rashid Ray kuwa wasimamizi wao. Mwenyekiti wa muda amesema zoezi la kuhesabu kura litachukua muda mfupi hivyo wajumbe wasitoke ukumbini wasubiri matokeo
Sita katetea uwepo wa Muungano, wa aina gani ndo jambo la msingi.
Huyo mwanamama aliyeteuliwa na Sita, nabashiri ndiye ameandaliwa kugombea umakamu.
Jamaa ni mtoto wa mjini mno angatulia angapata kura nyingi ila jinsi alivyo hata wale waliompinga Sitta wanaweza kuharibu kura hizo
Huyo mwanamama aliyeteuliwa na Sita, nabashiri ndiye ameandaliwa kugombea umakamu.