Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Mbona hawakupiga kura ya wazi kama wale jamaa walivyokuwa wanaongea udenda unawatoka? masisiemu mtakufa safari hii
 
Wagombea wanateua mawakala sasa wakuhesabu kura

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mwenyekiti anawasihi wabunge waendelee kubaki ukumbini wakati Zoezi la kuhesqbu kura linaendelea
 
Zoezi halitachukua muda mrefu...wajumbe wameombwa kutulia kwenye nafasi zao
 
Watu wawili wameingia kwenye kinyang'anyilo cha kugombea uenyekiti wa kudumu wa wa bunge maalumu la katiba. Watu hao ni Hashim Rungwe na Samuel Sitta.

Kabla ya kuanza upigaji kura wagombea walipewa dakika tatu kila mmoja wao za kutoa maelezo ili mwishoe aombe kura. Wakati hoja ya kuuza magari ikionyesha kuwagusa wajumbe wengi kwa upande wa maelezo ya bwana Rungwe, Sitta alitoa mpya pale aliposema "Nitapambana na wale wachache wanaopinga kuwepo kwa muungano"

Kwa maoni yangu naona Mh. Sitta hakupaswa kusema maneno hayo. Anaonyesha wazi mapema kupambana na wale wenye mtazamo tofauti na wake.
 
Sitta amemchagua Mhe Bahati kuwa wakala wake wa kuhesabu kura. Makonda kaonekana kukunja uso sijui alidhani atateuliwa yeye? Yaani huyo kijana ni poyoyo kweli kweli.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Zoezi la upigaji kura limemalizika tusubiri matokeo.Wagombea wanachagua mawakala.Sita amemchagua mwana mama mh Bahati Ally Abeid na Rungwe amemchagua Rashid Ray kuwa wasimamizi wao. Mwenyekiti wa muda amesema zoezi la kuhesabu kura litachukua muda mfupi hivyo wajumbe wasitoke ukumbini wasubiri matokeo
 
Pamoja sana mkuu
 
Huyo mwanamama aliyeteuliwa na Sita, nabashiri ndiye ameandaliwa kugombea umakamu.
 
Wale wenye nia mbaya ya kuvunja muungano watashughulikiwa, nijuavyo mimi Samuel Sita ni muumini wa Julius K Nyerere..

Angekuwa Rais wengi wa wanaopinga muungano wangekuwa ndani...
 
Jamaa ni mtoto wa mjini mno angatulia angapata kura nyingi ila jinsi alivyo hata wale waliompinga Sitta wanaweza kuharibu kura hizo

JK mjanja sana, kawateua RUNGWE na MTIKILA makusudi kabisa ili watanzanie tuwajue uchizi wao ili siku zingine tuwapuuze pale watakapokuwa wanabwabwaja hovyo.
 
Back
Top Bottom