yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,668
- 1,017
Kwa wanaofatilia sasa hivi mchakato wa upigaji kura kwenye channel ya tbc watakubaliani nami kwamba mh. sita ameshinda dhidi ya mgombea mwenzake ambae ameonekana ana hoja dhaifu ikiwamo ya kujisifia kwamba ye ndo mwafrika wa kwanza kuwa na yard ya kuuza magari, kitu ambacho wataalam wa mambo ya siasa wanasema ushindani huo hauna uwiano ni sawa kupambanisha mlima kilimanjaro na kichuguu