Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Je mheshiwa SITTA unafikiri unaweza kutuongoza vema katika bunge hili na Mwisho tupaje Katiba ya viwango? jibu la mzee SITT: Nadhani muuliza swali amethibitisha kuwa mimi ni mmumini wa kuendesha bunge kwa viwango, na mim ndivyo nitakavyofanya, amejibu SITTA.
 
huyu jamaa aliyewasha mike anatuharibia ustaarab wa bunge...
 
...wajumbe wanahamu ya kuongea, hawana maswali ya maana!
 
Kweli ushabiki utaipoteza hii nchi, maswali wanayoulizwa hawa wagombea hayana miguu wala kichwa, ila naona swali la mwisho kdg lina maantiki kdg ingawa ni dongo
 
Silinde anauliza......endapo kutatokeo mtafaruku wa kutishia bunge kuvunjika atafanyaje?
 
je wajumbe wakishindwa kuelewana, wewe Sitta utasaidiaje?
 
Sauti ya Simba ndo kauli swali la maana hapa,kuhusu mambo magumu yanayoweza kupelekea kuvunjika kwa bunge.Sita mwenyewe kashindwa kujibu
 
Silinde:
anakumbushia mgongana wa kanuni, anauliza ikiwa wajumbe wakafika kutoelewana hapo baadae je yeye atachukua hatua gani?
 
Ningependekeza hizi Mc za pale bungeni mwenyekiti au Spika awe anazikontrol yeye mwenyewe!
 
Swali la 3 ni kua kwa kua kuna makundi mbalimbali yamejidhihirisha, je kama wabunge watashndwa kuelewana atasuluhishaje?

Sitta anajibu kua hayo Mungu ayaepushe, kisha anasema kwa msaada wa Mwenyezi Mungu atajitahidi kutumia busara.
 
Sitta anaahidi kwa msaada wa Mwenyezi Mungu na wabunge wenye busara watashughulikia changamoto zitakazojitokeza.
 
SAMWEL SITTA, amejibu kwa kuutetea Muungano
 
heavy rains hapa krt, umeme umekatika...jf ndo only source sasa.
 
HeeeeeHeeeee.....Kagusa kunako.....Mambo Ya Muungano Na Tetesi Za Kuumwa.
 
Back
Top Bottom