Mapinduzi ifike wakati yakabaki historia Zanzibar,haiwezekani kila siku hawa wahafidhina kama Waziri Rajab na wenzake kuyatumia ili kujihakikishia kuwa madarakani dhidi ya wapemba. Katiba ni maridhiano,na kama hayapo pesa za walipa kodi zinapotea bure. Muungano kama ni wa wananchi hasa wazinzibari ambao ndo wanaonekana kuupinga waulizwe,maana kitendo cha kila mjumbe wa ccm kusimama na kutetea muungano kuna uwezekano mkubwa unaotetewa ni muungano wa TANU na ASP. Na kina . Waziri wanajua bila hivyo hakuna mapinduzi daima Zanzibar