Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Letcia nyelele ndiye anafanana naye.Hebu tuweni wawazi, T. Lissu tunaweza kumfananisha na mjumbe gani ndani ya bmk kwa uwezo wa kutunga/kutetea na kupangua hoja?
Membe anaituhumu tume kwa kupanga na kuratibu mauaji ya muungano
Wasira alikimbia ccm kwenda nccr na akarudi ccm baada xta nyerere kufa.
Mkuu nadhani halifa nadhani cdf wako wazanzibar wengi sana.Khalfa:Mznz gani amewahi kuwa CDF wakati jeshi ni moja
Tusi lipi kwa mfano ?Hee wewe unaangalia bunge gani? Hivi matusi ya Lisu ndio hoja na usomi, kama hujui huo ni upumbafu na kifo kisiasa.