Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Nakubaliana na wewe Mkuu.Huyo jamaa (Ali Omar) namjua ni bomu na hana ulemavu wa hivyo - alipata ajali mguu ukatenguka kidogo kajiingiza katika hilo kundi apate huo ubwabwa wa CCM.
session ya jioni haijaanza?
session ya jioni haijaanza?
Serikali tatu itapingwa na kila mpenda amani hapa nchiniImeanza, na sasa Prof Lipumba ndio anachangia.
Ameanza kwa kusema Waziri Lukuvi ameanza kampeni ndani ya makanisa kushawishi wakristo kukataa serekali tatu.