We ukawa hujasusa wenzako wametoka vipi wewe bado upo?Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Pengo ndo anawakilisha wakristo wote Tz? Nani kakudanganya?au unafikiri wakristo ni romani Catholic tu?
N if so y lukuvi apite makanisani kuhamasisha wakristo wakubali serikali mbili?
Halafu. Mnajifanya hamtaki ubaguzi huku nyuma.mnapita Makanisani
Mbona yeye amepita misikitini kueneza sumu yake ya serikali Tatu? Analalama nini?Lipumba kamlipua waziri lukuvi,kuwa amepga kampen kanisan ya kukataa serikal tatu.pia prof anaunga mkono serikal tatu
Me namshangaa huyu dada. Kazi kujipendekeza tu humuWe ukawa hujasusa wenzako wametoka vipi wewe bado upo?
Wameshindwa hoja wameishia kumangamanga kama walevi
Huo ndiyo ujumbe wataweza kuuelewa bila shaka. Huwezi kulazimisha kuharibu msingi wa rasimu ya katiba na badala yake, kujadili sera ya chama cha siasa, CCM.
UKAWA watatoa way forward baadae...
Sidhani kama ni ukawa peke yao ndio wametoka ninaamini hata baadhi ya kundi la 210.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Majibu ya Kero za Muungano alishayatoa mwenyekiti wetu tarehe 21 Machi 2014. We unataka majibu gani tena?unajua nyinyi CCM KAMA MNATAKA SELIKALI MBILI MNAVYOCHANGIA MUWE MNATOA NA MAJIBU YA KERO ZA MUUNGANO HAPO TUNAWEZA KUELEWA MNACHOTUCHANGANYA WANANCHI MNATOA MANENO YA KEBEHI, VITISHO, MIPASHO BILA KUJIBU HOJA TOENI MAJIBU YA KUMILIKI ARDHI, KATIBA YA ZANZIBAR, WIMBO WA TAIFA, BENDERA YA ZANZIBAR NA MALALAMIKO YA ZANZIBA NINI KIFANYIKE KUPITIA SELIKALI MBILI SIO KUTUKANA WENZENU
Wewe hayawani ongea mambo ya mashetani wrnzako mambo ya wakristo tuachie wenyewe, usidhani sisi ni tawi la mashetani ya ccm kama ilivyo bakwata.Pengo ameshaweka bayana kuwa wakristo wanaunga mkono serikali mbili. Wewe ni mkristo gani unayeendekeza makwinyanzi?
Wameenda kufanya maandalizi ya pasaka hawaWameenda kunywa bia