Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Pengo ndo anawakilisha wakristo wote Tz? Nani kakudanganya?au unafikiri wakristo ni romani Catholic tu?
N if so y lukuvi apite makanisani kuhamasisha wakristo wakubali serikali mbili?
Halafu. Mnajifanya hamtaki ubaguzi huku nyuma.mnapita Makanisani
We ukawa hujasusa wenzako wametoka vipi wewe bado upo?
 
Profesa katumia busara zake na kawambia ukweli ndio mana wajumbe wote wa upinzani watoka nje. Na kesho tuone kama korum yao itatimia
 
Hawakuwa na jipya zaidi ya matusi,kejeli na dharau kwa waasisi wa taifa letu. Washindwe na walaaniwe
 
Lipumba kamlipua waziri lukuvi,kuwa amepga kampen kanisan ya kukataa serikal tatu.pia prof anaunga mkono serikal tatu
Mbona yeye amepita misikitini kueneza sumu yake ya serikali Tatu? Analalama nini?
 
unajua nyinyi CCM KAMA MNATAKA SELIKALI MBILI MNAVYOCHANGIA MUWE MNATOA NA MAJIBU YA KERO ZA MUUNGANO HAPO TUNAWEZA KUELEWA MNACHOTUCHANGANYA WANANCHI MNATOA MANENO YA KEBEHI, VITISHO, MIPASHO BILA KUJIBU HOJA TOENI MAJIBU YA KUMILIKI ARDHI, KATIBA YA ZANZIBAR, WIMBO WA TAIFA, BENDERA YA ZANZIBAR NA MALALAMIKO YA ZANZIBA NINI KIFANYIKE KUPITIA SELIKALI MBILI SIO KUTUKANA WENZENU
 
Nimeshuhudia wakuondoka baada ya Prof. Lupumba kutumia fursa aliyopewa na kukanusha nukuu walizofanya ccm kuwa vyanzo vilivyopendekezwa na tume havitakidhi kugharamia serikali ya shirikisho lakini wanaacha mapendekezo aliytoa mwishoni katika makala hayo.
Hivyo nukuu hiyo ni batili na kusema wamechoka kuburuzwa na wanawaacha waendelee wenyewe.
 
Nasikia hata humu jf kuna watu wamejitoa kwenye hii thread.
Nilijua tu lazima watu waweke mpira kwapani.
 
Huo ndiyo ujumbe wataweza kuuelewa bila shaka. Huwezi kulazimisha kuharibu msingi wa rasimu ya katiba na badala yake, kujadili sera ya chama cha siasa, CCM.

UKAWA watatoa way forward baadae...
Wameshindwa hoja wameishia kumangamanga kama walevi
 
Sidhani kama ni ukawa peke yao ndio wametoka ninaamini hata baadhi ya kundi la 210.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Mkuu UKAWA ni combination...au unless hujui UKAWA inaundwaje!
 
unajua nyinyi CCM KAMA MNATAKA SELIKALI MBILI MNAVYOCHANGIA MUWE MNATOA NA MAJIBU YA KERO ZA MUUNGANO HAPO TUNAWEZA KUELEWA MNACHOTUCHANGANYA WANANCHI MNATOA MANENO YA KEBEHI, VITISHO, MIPASHO BILA KUJIBU HOJA TOENI MAJIBU YA KUMILIKI ARDHI, KATIBA YA ZANZIBAR, WIMBO WA TAIFA, BENDERA YA ZANZIBAR NA MALALAMIKO YA ZANZIBA NINI KIFANYIKE KUPITIA SELIKALI MBILI SIO KUTUKANA WENZENU
Majibu ya Kero za Muungano alishayatoa mwenyekiti wetu tarehe 21 Machi 2014. We unataka majibu gani tena?
 
Mimi naunga mkono uamuzi wa UKAWA (Umoja wa Kutetea Katiba ya Wananchi) kuwaacha CCM watunge katiba yao ya vitisho, na ubaguzi.
 
Hivi sasa bunge litaendeshwa kwa staha,stara na lugha ya heshima, sio kama tulivyozoea matusi na dharau
 
Back
Top Bottom