Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Naunga mkono UKAWA kutoka ndani ya bunge la Manyang'au
 
Na pia wachaga na waislamu pia wamebaguliwa na lukuvi
ni wakati muhimu sana kwa nchi yetu kuangalia kuwa hakuna fujo zitakazotokea. mambo mabaya huanza hivihivi kidogokidogo. Mungu atuapushe watz na matatizo ya ajabu ya fujo.
 
Intarahamwe na kiongozi wao waendelee na bunge lao la katiba..
Kwa maumivu mwana unadhani kutunga katiba ni kutukana peke yake?,lazima uwe na hoja na hao jamaa zako hawana hoja matusi yameisha watafanya nini bungeni bora wametoboa wangetia aibu tu.
 
Namimi nimeungana na lipumba!! Nimezima tv yng, naendelea na hamsini zangu
 
Wameishiwa hoja watasema nini tena wakati matusi wametukana yameisha,kejeli wamefanya zimeisha,sasa watasema nini tena wameona bora watambae.

Una akili fupi kama kinyesi chako.
 
Maccm yamebaki yameshika tama tuu. Makamu mwenyekiti kavurugwa na hali iliyotokea. Wamebaki wanajijambia tuu humo ndani. Yakome kulazimisha mambo na kufifisha mawazo ya wananchi.
 
Bunge limepoaaaaa.....ha ha ha vichwa ni.vichwa tu ukiondoa kichwa hakuna uhai tena.
 
Idadi please ya wana UKAWA unaweza kukuta ni kikundi cha wahuni wachache wasio fika hata mia moja kati ya 641
 
Kilichosalia kazi ni jina jipya la ccm - intarahamwe, mithili ya kikosi cha ubaguzi na mauaji ya kikabila cha Rwanda

Asante kwa ufafanuzi mkuu.

Naona intarahamwe wanaendelea na mjadala wa kutunga katiba ya kintarahamwe.
 


To be honest, ccm wameelemewa!!
 
CUF ni waarabu koko mawakala wa Sultan. wache waende zao,wameshtukiwa dili yao ya kuuza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…