Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni wakati muhimu sana kwa nchi yetu kuangalia kuwa hakuna fujo zitakazotokea. mambo mabaya huanza hivihivi kidogokidogo. Mungu atuapushe watz na matatizo ya ajabu ya fujo.Na pia wachaga na waislamu pia wamebaguliwa na lukuvi
Lema anatembea navyo kwenye mkoba wake anawagawia wenzake, akisaidiwa na suguhivi mle mjengoni kuna kijipub cha kuuza viroba???
Magamba yaliyobaki naona mood imepotea kabisa
Kwa maumivu mwana unadhani kutunga katiba ni kutukana peke yake?,lazima uwe na hoja na hao jamaa zako hawana hoja matusi yameisha watafanya nini bungeni bora wametoboa wangetia aibu tu.Intarahamwe na kiongozi wao waendelee na bunge lao la katiba..
We punguani mbona umehamaki kiasi hicho?
Wameishiwa hoja watasema nini tena wakati matusi wametukana yameisha,kejeli wamefanya zimeisha,sasa watasema nini tena wameona bora watambae.
Kwanini wameondoka leo baada ya kula kodi zetu kwa miezi mitatu?Wahuni wamebaki wanatengeneza katiba yao..
Kilichosalia kazi ni jina jipya la ccm - intarahamwe, mithili ya kikosi cha ubaguzi na mauaji ya kikabila cha Rwanda
Mathias LyamundaYamepotea maboya
Wamefanya jambo la maana sana.Mimi naunga mkono uamuzi wa UKAWA (Umoja wa Kutetea Katiba ya Wananchi) kuwaacha CCM watunge katiba yao ya vitisho, na ubaguzi.
Kama umemsikiliza vyema, ni CCM ndio imebomoa bunge. Kama imefikia hatua hadi waziri mkuu anawakilishwa kanisani kuanzisha mijadala ya kidini na kivita, hauoni kwamba Lipumba ameliokoa taifa na kumpa Rais fursa ya kurekebisha kasoro - kumfuta kazi Lukuvi na kuvunja BLK rasmi tuanze upya?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Yani wamechanganyikiwa ccm na hapo ndo tumejua kundi la with 201 ni ccm yoteMagamba yaliyobaki naona mood imepotea kabisa