Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Kabisaaaaaa!Sasa wanaobaki wajadili kwa busara ili tupate katiba bora........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaaaaa!Sasa wanaobaki wajadili kwa busara ili tupate katiba bora........
Kwani wewe bado upo humu?
We ondoka tu mkuu. Kwanza hata mchango wako hatujauona humu Bora Skype, OKW BOBAN SUNZU na kibo10Wana jef napenda nichukue nafasi hii kuwaaga, kwani vichwa vya maana vimeshaondoka na kuendelea kuwasikiliza intarahamwe ni kujizalilisha.
mi nimezima tivii sababu mimejiona mjinga kuendelea kuwasikiliza majambazi wa nchi hii
Wewe hayawani ongea mambo ya mashetani wrnzako mambo ya wakristo tuachie wenyewe, usidhani sisi ni tawi la mashetani ya ccm kama ilivyo bakwata.
Una hakika gani kama hiyo ya chini ni halisi?kazi mnayo
![]()
![]()
Huo ndiyo ujumbe wataweza kuuelewa bila shaka. Huwezi kulazimisha kuharibu msingi wa rasimu ya katiba na badala yake, kujadili sera ya chama cha siasa, CCM.
UKAWA watatoa way forward baadae...
Pole sana Mkuu. Hakika umeonesha ni kwa kiwango gani umechanganyikiwaTutaipata Katiba Mpya Ya Wananchi nje ya Bunge hili la Katiba. Rais ana option moja tu kuokoa taifa - avunje bunge mchakato uanze upya ambapo wajumbe wa BLK watachaguliwa na wananchi kwa kura, na pia kumfuta kazi Waziri Lukuvi mara moja.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kazi mnayo
![]()
![]()
Wawakilishi halali wa wananchi wanatimiza wajibu wao. Hao Mawakala wa Shetani waondoke tu.Ha ha haaa...sasa wamebakia na RASIMU lao MBADALA walilotaka kuliingiza kwa nguvu barazan..waliingize peke yao sasa tuone ka litapata UHALALI huku kwa wananchi
Huo ni upuuzi na kupoteza muda.kwa kweli hazifanani kabisa, sasa ile ya sefue ombeni kaitoa wapi tena, daah hii ni nchi ya ujanja ujanja tupu