Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Picha wapi?

attachment.php
 
Hakuna kitu kinauma kama kukaa bungen huku wengine wakiwa wanafanya upumbavu na wakijua kuwa wananguvu na uwezo wa kuwashurutisha wenzao. Sasa wakat umefika watanzania tumechoka!!! Na tutapaza waiting zetu hata kwa kutumia nguv. Hongeren UKAWA kwa Hathaway mlioichukua. Tuko pamoja. Yaan wananchi tupo nyuma yenu.
 
Pengo ameshaweka bayana kuwa wakristo wanaunga mkono serikali mbili. Wewe ni mkristo gani unayeendekeza makwinyanzi?

tambua tu pengo sio kiongozi wa wafuasi wote wa yesu,afu yesu alisema ya kaisali mpeni kaisali sasa mbona hao watawala wenu wanaonekana wamefunga ndoa na watawala wa dunia hii?jambo likiwa gumu wanakimbilia kwa watu wa dini wawasaidie
 
unamawazo mazuri na busara sana mkuu, lakini chini ya hii sisiemu ya kikwete, tusahau tusahau hilo.. sijui nini kinafuata maana tayari safari imeanza kuwa na misukosuko mikunbwaa.....sijui kama tutafika.....


Ni hatari sana maana tayari tumeshapoteza pesa mabilioni zaidi ya 200 hadi sasa, sijui zingeenda mahospitali tungepata madawa kiasi gani, au madawati kiasi gani.... Inasikitisha sanaaaa..

Tutaipata Katiba Mpya Ya Wananchi nje ya Bunge hili la Katiba. Rais ana option moja tu kuokoa taifa - avunje bunge mchakato uanze upya ambapo wajumbe wa BLK watachaguliwa na wananchi kwa kura, na pia kumfuta kazi Waziri Lukuvi mara moja.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Godbles Lema uliliona hili mapema ukashindwa kutumia fursa ya kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu ndio maana sishangazwi mpaka leo hujachangia huu uhuni wa kisiasa.
 
ni afadhali kula ukoko mkavu ukiwa na amani na utulivu, kuliko kukaa katika nyumba ya karamu ukiwa na magomvi UKAWA MMETHUBUTU NA SISI TUNAWAUNGA MKONO
 
Mtakumbuka ktk kosa alilofanya rais wa nch ni kuteua wawakilishi wa BAKWATA, TEC na CCT na kuwasahau Wapentekoste na hata skofu wao alipohoji ikulu iliwapuuza.Mbaya zaidi rais aliteua muwakilishi wa waganga wa kienyeji na kupuuza watumishi wa MUNGU. alf kila bunge la katiba linapoanza tunaanza na dua/sala ya kumuomba MUNGU atusaidie wkt hapo bungeni kuna muwakilishi wa waamini uchawi Hii ni dhihaka kwa MUNGU, na hasira ya MUNGU ITAKUWA JUU YA BUNGE HILO,NI LAANA KUWEKA MUWAKILISHI WA WACHAWI NA KUWAKATA WAWAKILISHI WA MUNGU...
 
Njooni mtaani tuwachape. Msijidanganye kama muziki wa safari hii mtauweza
 
Watasusa,lakini katiba itaandikwa,ikishindikana kuandikwa itatumika katiba ya sasa.
Watakwenda kufanya mikutano ya hadhara bado haitawasaidia.
 
Pole sana Mkuu. Hakika umeonesha ni kwa kiwango gani umechanganyikiwa

Ni bahati mbaya sana JF inawa ruhusu kuwepo humu kama misukule, kwani tungewajua, tusingekubali hata kidogo kushirikiana nasi katika ujenzi wa Tanganyika yetu ambayo itazinduliwa muda sio mrefu.

Na hiyo pole wape ikulu na CCM Lumumba kwani mkakati wa kuwahadaa wananchi umeanguka.


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Watanzania tunajifunza nini? Kwa yale yaliyo tokea bungeni kwa wabunge wanao unda umoja wa UKAWA kutoka bungeni?
Swali la kifala hilo ina maana wewe ulikuwa huangalii tv
 
Unataka kujifunza mtusi au unataka kudikia matusi mbalimbali? Kama we hupendi hivyo vtu n bora ukae bila kulisikiliza kwan hakuna funzo zaid ya mitusi ya watu wazima
 
Back
Top Bottom