kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,742
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawakilishi halali wa wananchi wanatimiza wajibu wao. Hao Mawakala wa Shetani waondoke tu.
Wawakilishi halali wa wananchi wanatimiza wajibu wao. Hao Mawakala wa Shetani waondoke tu.
Pengo ameshaweka bayana kuwa wakristo wanaunga mkono serikali mbili. Wewe ni mkristo gani unayeendekeza makwinyanzi?
Tutaipata Katiba Mpya Ya Wananchi nje ya Bunge hili la Katiba. Rais ana option moja tu kuokoa taifa - avunje bunge mchakato uanze upya ambapo wajumbe wa BLK watachaguliwa na wananchi kwa kura, na pia kumfuta kazi Waziri Lukuvi mara moja.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Pole sana Mkuu. Hakika umeonesha ni kwa kiwango gani umechanganyikiwa
Swali la kifala hilo ina maana wewe ulikuwa huangalii tvWatanzania tunajifunza nini? Kwa yale yaliyo tokea bungeni kwa wabunge wanao unda umoja wa UKAWA kutoka bungeni?
Julius Mtatirohiv wametoka moja kwa moja kurudi makwao au wametoka mara moja tu kesho wanarejea mjengoni?