Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

We need strong argumet,reasoning sio mipasho namachambo ya ccm, hivi wabungewote mnakubali hali hiyo
 
Wabunge wa kambi ya upinzani wamelisusia Bunge na kutoka nje..hii baada ya prof.Lipumba kuongea na kuwaaga waliobaki
 
Wana jef napenda nichukue nafasi hii kuwaaga, kwani vichwa vya maana vimeshaondoka na kuendelea kuwasikiliza intarahamwe ni kujizalilisha.
We ondoka tu mkuu. Kwanza hata mchango wako hatujauona humu Bora Skype, OKW BOBAN SUNZU na kibo10
 
Kunahuyu mama naona anaongea pumba kabisa, eti ibara ya kusema raisi wa zanzibar ni amiri jeshi mkuu inamaanisha eti ateue walinzi daah kweli waliobaki hamna kitu
 
mi nimezima tivii sababu mimejiona mjinga kuendelea kuwasikiliza majambazi wa nchi hii

Wewe ni miongoni mwa watanzania wachache wenye upeo mdogo wa kufikiria, mnadanganywa na porojo zisizo na ukweli na mnakubali. Pole sana. CCM oyee
 
Tutaipata Katiba Mpya Ya Wananchi nje ya Bunge hili la Katiba. Rais ana option moja tu kuokoa taifa - avunje bunge mchakato uanze upya ambapo wajumbe wa BLK watachaguliwa na wananchi kwa kura, na pia kumfuta kazi Waziri Lukuvi mara moja.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Huo ndiyo ujumbe wataweza kuuelewa bila shaka. Huwezi kulazimisha kuharibu msingi wa rasimu ya katiba na badala yake, kujadili sera ya chama cha siasa, CCM.

UKAWA watatoa way forward baadae...

Ha ha haaa...sasa wamebakia na RASIMU lao MBADALA walilotaka kuliingiza kwa nguvu barazan..waliingize peke yao sasa tuone ka litapata UHALALI huku kwa wananchi
 
Mkuu@Skype na jopo lako twaomba mtusaidie Audio ya Prof Lipumba ili tujue nini kilichowapelekea kutoka nje, maana hapa pia pameishaingia porojo tuu...
 
NAYEJITAMBUA HAWEZI KUKAA NA KUJADILI KATBA YA CCM wakati nchi ina sisi Tusio na vyama wengi sana
 
Pole sana Mkuu. Hakika umeonesha ni kwa kiwango gani umechanganyikiwa
 
kawme hatutakubali kuonewa juu ya suala hili la katiba!! Hongera UKAWA kwa msimamo mliouonyesha,.
 
Radio gani inatangaza moja kwa moja Bunge la katiba kwenye mtandao wa internet?
 
Ha ha haaa...sasa wamebakia na RASIMU lao MBADALA walilotaka kuliingiza kwa nguvu barazan..waliingize peke yao sasa tuone ka litapata UHALALI huku kwa wananchi
Wawakilishi halali wa wananchi wanatimiza wajibu wao. Hao Mawakala wa Shetani waondoke tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…