Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Nilishajua UKAWA chini ya mbowe haitafika popote. Ona wanavyoumbuka sasa.
 
Mkuu hebu nisaidie UKAWA nje ya bunge imeishia wapi ambayo katibu wa ukawa huo ni dr slaa,hii ni wazi kuwa hata hawa wataishia sakafuni tu.
 
Nashangaa nimefungulia Tv jioni hii nikakutana na ngonjera tu za waimba tarabu.
Vipi kuna nini kimetokea bunge kugeuka ukumbi wa taarabu?
.
Mkuu hiyo bendi inaitwa Intarahamwe CCM Jazz Band kiongozi wa bendi ni Mwigulu
 
Sisi sisiem hatuna hoja vichwa vyetu vya panzi ndiyo maana unaona tunaongea mipasho tu, hawa wamama tumewaweka humu mjengoni kwa sababu watusaidie mipasho
 
sawa kabisa kikwete ndio alianza kuharibu ktk hotuba ya uzinduzi, historia itamhukumu kuwadharau wazee wa tume kwa kuwatupia vilago kwa hasira za mapendekezo ya ccm.
 
swali la kujiuliza.. kama sisiemu walijua kabisa hawataki majibu tofauti na yao toka kwa tume ya warioba, ilikuwaje wakaruhusu wakina warioba watumie pesa (Zaidi ya bilioni 180) na muda wetu bure??? Kwa kweli sielewi kabisa ilikuwaje unafanya jambo unalojua kabisa hulitaki.

Hivi serikali mbili zikiungana zinakuwa mbili??? Tanganyika imekufa, zanzibar inaishi inasikitisha sana,....
 
Nilishajua UKAWA chini ya mbowe haitafika popote. Ona wanavyoumbuka sasa.
Mkuu hati ya muungano imewachanganya sana hawa ukawa,hawana hoja nyingine tena imebidi watoboe mapema kabisa.
 
bunge limekuwa taaraabu kabisa kabisa.. Lafudhi ni za kitaarabu kabisa.. Wanakataa rasimu sasa ilikuwaje wakawapa kazi wakina warioba??

Kuna mdada anasema eti wapinzani na warioba walaaaniwe duuuhhhh. Hatari sana.. Bunge limeharibika kabisaaaaa
 
Nashangaa nimefungulia Tv jioni hii nikakutana na ngonjera tu za waimba tarabu.
Vipi kuna nini kimetokea bunge kugeuka ukumbi wa taarabu?
.

Maccm wapo wanafanya yao kama kawaida yao..
 
Mkuu Skype ndo nini kuketi kimya ama wajifanza hujaelewa ombi langu la Audio na pia tuongeze na ya Lukuvi
 
Last edited by a moderator:
Kwa hakika sioni msingi wowote kwa mtu anayejitambua kuwa Upande CCM zaidi ya kusaka tonge,, au la ni mjinga na kwa sababu ameshindwa kuukataa ujinga hawezi kuikataa CCM,
anataka serikali tatu na anaetaka serikali mbili nani anatafuta tonge? Shabikia ujenzi wa viwanda ndugu na sio mi idadi ya serikali isiyokuwa na tija kwa watanzania
 
Hii style yao ya kususa haito wasaidia bora wangetumia njia nyingine kuliko hii kila leo.
Hivi posho watachukua?
Kesho watarudi?

Mimi nawaomba warudi makwao
 
bunge limekuwa taaraabu kabisa kabisa.. Lafudhi ni za kitaarabu kabisa.. Wanakataa rasimu sasa ilikuwaje wakawapa kazi wakina warioba??

Kuna mdada anasema eti wapinzani na warioba walaaaniwe duuuhhhh. Hatari sana.. Bunge limeharibika kabisaaaaa

Yaani humo ndo watakata hadi mauno mamamaee ccm..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…