MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Nilishajua UKAWA chini ya mbowe haitafika popote. Ona wanavyoumbuka sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hebu nisaidie UKAWA nje ya bunge imeishia wapi ambayo katibu wa ukawa huo ni dr slaa,hii ni wazi kuwa hata hawa wataishia sakafuni tu.===>Kwa atakaekuwa na Audio ya Lukuvi aliyozungumza kanisani aiweke hapa,
===>Namuonea huruma sana huyu Mzee Lukuvi,alikuwa anajifanya yeye ni mnazi sana wa Magamba,sasa subiri uone jinsi atakavyotolewa kafara na wenzake,laana za watanzania wengi zimemuangukia,naaamini atasahaulika kisiasa muda si mrefu.
Mkuu hiyo bendi inaitwa Intarahamwe CCM Jazz Band kiongozi wa bendi ni MwiguluNashangaa nimefungulia Tv jioni hii nikakutana na ngonjera tu za waimba tarabu.
Vipi kuna nini kimetokea bunge kugeuka ukumbi wa taarabu?
.
kinachoendelea bungeni ni mipasho,kejeli, matusi na komedi kiujumla! Hakuna jipya pale dodoma!Hivi sasa bunge litaendeshwa kwa staha,stara na lugha ya heshima, sio kama tulivyozoea matusi na dharau
vichwa vya ukawa na wote wanaounga mkono rasimu ya serilkali 3 wameondoka.. kwa hiyo bunge zima limegeuka kuwazungumzia ukawa badala ya kujadili ibara ya 1 na ya 6.. Bunge limegeuka kabisa sasa ni mipasho.. wenzetu wenzetu.. wametoka... wenzetu hv yaani ni aibu kabisa kabisa...
Huyu ni mbowe,lissu na lipumba ni one.......kamwe "shetani" hata shinda Duniani !!!!
![]()
sawa kabisa kikwete ndio alianza kuharibu ktk hotuba ya uzinduzi, historia itamhukumu kuwadharau wazee wa tume kwa kuwatupia vilago kwa hasira za mapendekezo ya ccm.kwa staili aliyoanza nayo sitta, hakuna shaka kwamba lazima angeshindwa tuu, mwanzo tulimshauri aliongoze bunge kujikita ktk mjadala ambao ni rasimu ya katiba, sitta aliruhusu wabunge kuvunja sheria no 83 ya mabadiriko ya katiba iliyokua imeanzisha tume ya mabadiriko ya katiba na majukumu yake, vile vile sheria hiyo ilianzisha bunge maalum la katiba na majukumu yake, kitendo cha kuikataa rasimu sitta hakujua kwamba msingi wa uenyekiti wake ni rasimu ya tume, anapenda kuendelea kuwa mwenyekiti wakati msingi uliomweka anauvunja, tuna kila sababu ya kutomwamini sitta kamwe, kwa lengo la urais angefanikiwa angesimama ktk misingi ya tume kuongoza bunge, hongereni ukawa kwa kuonyesha wazi kwamba hakuna katiba,,,,,,,,,
Ndio mana unawashwaMkuu hiyo bendi inaitwa Intarahamwe CCM Jazz Band kiongozi wa bendi ni Mwigulu
Mkuu hati ya muungano imewachanganya sana hawa ukawa,hawana hoja nyingine tena imebidi watoboe mapema kabisa.Nilishajua UKAWA chini ya mbowe haitafika popote. Ona wanavyoumbuka sasa.
Huyu ni mbowe,lissu na lipumba ni one
Nashangaa nimefungulia Tv jioni hii nikakutana na ngonjera tu za waimba tarabu.
Vipi kuna nini kimetokea bunge kugeuka ukumbi wa taarabu?
.
anataka serikali tatu na anaetaka serikali mbili nani anatafuta tonge? Shabikia ujenzi wa viwanda ndugu na sio mi idadi ya serikali isiyokuwa na tija kwa watanzaniaKwa hakika sioni msingi wowote kwa mtu anayejitambua kuwa Upande CCM zaidi ya kusaka tonge,, au la ni mjinga na kwa sababu ameshindwa kuukataa ujinga hawezi kuikataa CCM,
Pole kwa maumivu makubwa yanayokusumbua baada ya ukawa kushindwa kwa hoja na kuweka mpira kwapani.Mkuu hiyo bendi inaitwa Intarahamwe CCM Jazz Band kiongozi wa bendi ni Mwigulu
mmevurugwa na huo ukawa wenu...mtajijuuu
bunge limekuwa taaraabu kabisa kabisa.. Lafudhi ni za kitaarabu kabisa.. Wanakataa rasimu sasa ilikuwaje wakawapa kazi wakina warioba??
Kuna mdada anasema eti wapinzani na warioba walaaaniwe duuuhhhh. Hatari sana.. Bunge limeharibika kabisaaaaa