Wadau,
kitendo cha UKAWA KUJITOA ktk majadiliano ya Katiba ya kuhalalisha ufidhuli wa Interahamwe - ccm na kundi Lao la 201 ni jambo la kishujaa sana na kinaungwa mkono na kitaungw mkono na umma WOTE.
kilichobakia ni TATIZO kuu ambalo ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Hii TUME iliyopo sasa ni kundi la ccm na ndio limefanya matatizo kuwa makubwa mno ktk CHAGUZI zote mbazo ccm imelazimishia ushindi ikishirikina na TUME, na HIVYO kuip ccm nguvu ktk bunge kujihalalishia wingi na kujipitishia maamuzi na yaliyojaa kimagumashi na ufidhuli.
tunaomba UKAWA wasimame imara ili kuvunjwa TUME ya uchaguzi ili kupata TUME huru n itakayosimma KURA za moni kama tutafika hatua hiyo. Muda Ndio sasa...la sivyo hata ikitokea KURA za maoni, matatizo ya kuchakachua kwa kupitia TUME hii upo pal pale...Katiba Mpya ya HAKI itakwama.
nawasilisha.