Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Mipasho kaka ndiyo zetu sisiem hatuna hoja inabidi tufanye hivyo

Kama uko ccm jaribu kuwa unawapa shule wana ccm ukianzia na yule kichwa cha nazi mpaka ukoo wote wa panya waelimike waache mawazo mgando, wajitahidi kutoa huduma za jamii kwa kiwango stahili. Kwa ninavyokufahamu mkuu utaweza kuwabadilisha ndani ya muda mfupi lakini endapo tu wewe ni mwana ccm pure.
 
Lipumba na uzee wote anaonesha uchanga wa mawazo ndiyo maana cuf inakufa kifo cha mende bora arudi tabora akalime tumbaku tu.
 

hao CCM Zanzibar ni wa vivu wa kufikiri na wameshindwa kupanga mikakati ya maendeleo kwa miaka 50 huku Zanzibar kwa hilo bila shaka wametuamsha Wanzanzibar kuwa CCM hawawezi kutuletea maendeleo Zanzibar kwa kutumia fursa ze2 za kiuchumi tulizo nazo kwa ushauri wangu wajitaarishe 2015 kuwa chama cha Upinzani kwa kuwa wamekiri wameshindwa kuleta maendeleo Zanzibar na hawa wezi kuihudumikia Zanzibar
kwa heri ukoloni , karibu Uhuru
Mungu Ibariki Afrika.
Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
Najaribu kufikiria uhalali wa bunge hili ikiwa kama kuna baadhi ya wajumbe wameamua kujitoa...

Sijui kanuni zinaelezea vipi suala hili?
 

Waziache kwa faida ya nani? Ukiziacha zinapelekwa kujengea vituo vya mafuta.
 
Wenye akili wametoka tulikuwa kijiweni wengi tukiangalia baada ya wenye akili kutoka watu walisambaratika km vile mpira umekishwa.waliobaki wajue kabisa wengi wetu hatuwafatilii tena hata wakitukanana matusi ya nguoni ni sawa na mjinga ukamwacha akibweka tuuuu ukaenda na yako......
 
Nawapongeza sana, wawachie interahamwe na vibaraka wake wajitungie katiba yao!
 

Hivi CCM hawana tamaa ya madaraka?
 
Mimi ingawaje huwa napinga mengi ktk ccm kwa issue ya muungano nadhani bado tuendelee na S2. Kikubwa kinachonikera ktk ccm ni ugoigoi wa kupambana na ufisadi. Kwa sasa chama kinashindwa kijitenga na ufisadi. Sioni kama yupo kiongozi shupavu anayepambana na ufisadi. Na mafisadi wote wanajua kuwa wanapovaa nguo za kijani na njano wapo salama ktk ngome imara.
 
Sitta ----- sana na lisauti lake kama kabanwa na mlango
 

kabla ya kuandika tafakari kwanza, UKAWA tuliwatuma kwenda kujadili rasimu yenye maoni ya watanzania na si maoni ya ssm.:israel::israel:
 
Wewe umebebeshwa gunia la mawe kichwani huwezi kuona mbali, ndio sababu ya tuhuma zako hizo!
Unawaza kudanganywa ili ukadanganye. Ndio maisha yenu hayo!
 
Jamaa naoana Propaganda Zinaenzwa na ccm, heti Muungano hutavunjika, sultani ataurdi, Dahh Eti jeshi kupindua nchi, daahh Zama Hizi ni aibu sana mtu mzima kuwaza hivyo
 
Nini kimetokea kwani huko bungeni?

Yaliyotokea ni makubwa...ishara ya uimara wa KUNDI LA UMMA kuelekea ukombozi wa Taifa lao la Tanganyika na Zanzibar kuwa HURU.

UKAWA - 'Umoja wa Katiba ya Wananchi' - wamejitoa ktk Vikao vya Bunge la Katiba linalodhulumiwa na ma-ccm ambayo kutokana na ubaguzi wao kwa wananchi wasio wana-ccm and hasa wa-Pemba, Mh Prof Lipumbe ametoa hotuba kali sana, na liwafananisha Ma-CCM na kundi la INTERAHAMWE ambalo ni kundi harari mno lililosababisha na kuchochea ubaguzi Rwanda hadi kuleta mauaji ya kimbari wa zaidi ya wanyarwanda milioni 1...

Pamoja tutafanikiwa! Hata Kenya walinyanyaswa sana na Chama Tawala chini ya KANU ya MOI hadi Wapinzani wakaungana, na mwisho wa KANU ukatangazwa rasmi...KANU ipo wapi leoo?...ndio tunaelekea hukoo!

CCM = INTERAHAMWE tu.
 
Mkuu tatizo lenu ukawa mnawaza madaraka mda wote baada ya kuona hoja ya serikali tatu haina mashiko sasa mnahangaika kama watu waliokwenye mafuriko.

Kwa sasa watanzania siyo watu wakupotoshwa na wanasiasa wahuni kama hawa wenye maslahi binafsi na familia zao.

Tangu uwe uakawa umejifunza nini zaidi ya kujua matusi na kejeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…