Chabruma
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 5,660
- 1,780
Hakika huyu mbunge ananikumbusha mbali sana. Anasema kuwa wapinzani wa mapinduzi ni hawa hawa wanaopinga muungano hasa kupitia vizazi vyao. Anasema kuwa Wazanzibari wanaotoka Unguja, wana muingiliano na watu wa bara huku wa Pemba hawana muingiliano wa kidamu zaidi ya ule wa kibiadhara.