Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu: kuna vihoja.. kihoja kuwa nilimtukana Baba wa Taifa .. refer to ""Tujisahihishe"
Zainab Kawawa anasema;
Nataka nizungumze na watanzania leo kwanini sikubaliani na serikali inayo itwa ya shirikisho. nchi ndio inayozaa urai na kutengeneza utaifa.
Jamhuri hiyo ya tanzania haitoi huduma za afya, elimu na huduma zozote. haiwezekani.
viongozi wa upinzani igeni mfano wa viongozi wa ccm, kwanini chama kimeendelea kua imara. nyie hamna utashi wa kuvumilia na kukosoana. Muna hadhi gani ya kuvaa koti linalofanana na wasisi wa nchi hii. Wajumbe wameonesha dhamira ya kuvunja muungano wetu.
Hivi nyiynyi mnaotaka serikali tatu kwania mbaya mnaonesha dhamira ya kuuvunja muungano huu. nani asiyejua chadema haina wanachama zanzibar? watanzania ndio wanao gawa uongozi. waroho wa madaraka ninyi. acheni njia za dezo. nawashukuru sana kwa kunipa nafasi.
Daah,Tundu Lissu ni mtamu jamani