Kwao CCM kwa kuwa wamezoea vya kunyonga kama alivyobainisha Mwanasheria nguli Tundu Lissu, kwa hiyo hata ikikosekana quaram, kwa kuwa wamebaki peke yao watachakachua tu idadi ya wajumbe, ili waendelee siyo kutunga katiba ya wananchi, bali watatunga katiba yao ya CCM ambayo wataipachika jina kuwa ni katiba ya wananchi!Wanasheria mtusaidie.
Je, quorum itatimia kwa ma CCM kuendelea na Kijiwe chao ?
Hamna lolote!
Ukiwaunga mkono Ukawa lazima ujitoe akili kwanza!
Watanzania tutawapuuza!
Kuhusu posho, ni kama kile kiendacho kwa mganga kurudi ni mwiko!Posho vipi wanarudisha au wanapiga kimya! Wengine tulisema toka mwanzo hakuna jipya hawa jamaa wataongeza katika rasimu, wanazo ajenda zao na waliofata mkumbo ndio watajua na msiwabembeleze kesho wateuliwe watu wengine wakapige ndondo.
Posho vipi wanarudisha au wanapiga kimya! Wengine tulisema toka mwanzo hakuna jipya hawa jamaa wataongeza katika rasimu, wanazo ajenda zao na waliofata mkumbo ndio watajua na msiwabembeleze kesho wateuliwe watu wengine wakapige ndondo.
Leo kimetokea kituko baada ya wale wanafiki wenye lengo baya na Tanzania kutoka nje baada ya kuonyeshwa mkataba wa muungano.
Wanafiki hao walipigwa na butwaa baada ya kuona mkataba huo live bila chenga. Ndipo walipoona wamefilisika kwa hoja na kukimbia.
Hamna lolote!
Ukiwaunga mkono Ukawa lazima ujitoe akili kwanza!
Watanzania tutawapuuza!
Kwao CCM kwa kuwa wamezoea vya kunyonga kama alivyobainisha Mwanasheria nguli Tundu Lissu, kwa hiyo hata ikikosekana quaram, kwa kuwa wamebaki peke yao watachakachua tu idadi ya wajumbe, ili waendelee siyo kutunga katiba ya wananchi, bali watatunga katiba yao ya CCM ambayo wataipachika jina kuwa ni katiba ya wananchi!
ccm ni kichaka cha vijana wavivu wanaojiita wasomi! kama huamini angalia utendaji wa vijana wanaccm wasomi kwenye ofisi za umma!