Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Kwao CCM kwa kuwa wamezoea vya kunyonga kama alivyobainisha Mwanasheria nguli Tundu Lissu, kwa hiyo hata ikikosekana quaram, kwa kuwa wamebaki peke yao watachakachua tu idadi ya wajumbe, ili waendelee siyo kutunga katiba ya wananchi, bali watatunga katiba yao ya CCM ambayo wataipachika jina kuwa ni katiba ya wananchi!Wanasheria mtusaidie.
Je, quorum itatimia kwa ma CCM kuendelea na Kijiwe chao ?