Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Tanzania kuna mambo,kila mjuimbe kutoka kundi la walio wengi,kazi yao ni kuiponda tume, yaimewatokea puani walivyo achiwa watengeze katiba ya ccm,wanaojitahidi kuibeba ccm wanazidi kupoteza mvuto mbele ya jamii, baada ndg membe kuzomewa Leo bungeni,
 
Tuweni wakweli nchi iko chini ya kanisa katoliki. ⛪️
 

Atawakanya vipi waache matusi na maneno ya kanga ilhali yeye ndo aliyaanzisha?
 
Huyu katiba Mpya anatabia nasifa za kama Hamy-D

Ngonja niendelee kuchunguzai
 

mkuu umenena,sasa wamebakia wenyewe ona tofauti....wanaongea kwa kurudia hoja hawana jipya
 
Naukumbuka bado waraka wa kakobe aliomwandikia jk.
Naona dalili la kutofanikiwa suala la katiba kwan wameanza kuongea lugha tofaut
 

Watanzania hawahawa wagome? Kweli unaamini watanzania hawa watafanya mapinduzi kwa njia hiyo unayoitaka? Nina hamu ya kuona maajabu haya.
 

a twit from Lumumba! Basi acheni CCM wabaki wawatungie katiba bora. UKAWA wameishatoka bungeni, mnawasakama wa nini? Sasa nadhani hata waandishi wa habari wataruhusiwa kuingia kwenye kamati maana waliokuwa wanaogopwa wamejitoa bungeni.
 

Ndani ya video tumsikilize Lissu, Wassira, Membe na Waziri wa Wanzibar, Kilichonivutia ni wimbo wa LUKUVI MUUAJI ulioimbwa na UKAWA
 
Last edited by a moderator:
hawa watu woote wana akili ya aina moja ama wengine wanalazimishwa na kufuata upepo?

mi naamini hoja ndio inaweza kumtoa ama kmbakiza mtu ndani, sasa hawa wametolewa na hoja ama wanatumia konyagi?
 
Hivi kweli mlitegemea chochote kwenye katiba hii wakati tangu mwanzo kama mtakumbuka vizuri kujadili suala la muungano lilikatazwa kabisa, baadae wakasema ujadiliwe muundo lakini sio kuhoji kuwapo au kutokuwapo muungano?

Ukija kuongezea na hotuba ya JK wakati wa ufunguzi wa hili bunge la katiba, unategemea nini kingefuatia?
 
wapuuz hao!
wanatufanya wananchi ni wajinga sana?
wanakimbia nini na wanakwenda wapi?
watakuwa wageni wa nani?
Je Nyerere na wenzake wangekimbia wakoloni tungepata uhuru sisi?
hawana maana hao UKAWA kama kundi la wAHUNI TU.
R.I.P UKAWA
 
Last edited by a moderator:
hawa watu woote wana akili ya aina moja ama wengine wanalazimishwa na kufuata upepo?

mi naamini hoja ndio inaweza kumtoa ama kmbakiza mtu ndani, sasa hawa wametolewa na hoja ama wanatumia konyagi?
Umefuatilia na kusikiliza wanachokidai au unaandika kwa kufuata upepo bila kufuatilia na kusikiliza kinachodaiwa.
 
Mwisho itabaki katiba iliyopo na maisha yataendelea hizo kodi zilizoliwa tuandike maumivu tu.
 
Hao ni wendawazimu...... hoja hawana wamekalia kususa tu.....ptuuuuuuuuu wameishiwa hoja
 
Hawana jipya hao alafu mpango wa kuondoka bungeni inaoneka walikuwa wameisha usuka kitambo!
 
wapuuz hao!
wanatufanya wananchi ni wajinga sana?
wanakimbia nini na wanakwenda wapi?
watakuwa wageni wa nani?
Je Nyerere na wenzake wangekimbia wakoloni tungepata uhuru sisi?
hawana maana hao UKAWA kama kundi la wAHUNI TU.
R.I.P UKAWA

povu la nn?c mmeachwa mtunge katiba ya ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…