Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zanzania kuna mambo,kila mjuimbe kutoka kundi la walio wengi,kazi yao ni kuiponda tume, yaimewatokea puani walivyo achiwa watengeze katiba ya ccm
Thank God kwamba hawana mapanga na yale marungu yalowekwa misumari.Kwa sababu interahamwe wameteka bunge la katiba.
Taifa hili linahitaji kuombewa. Matusi, ubaguzi, kejeli, uzushi na jeuri ya makada ya wajumbe walio wengi (hasa kutoka CCM) imesababisha UKAWA kutoka nje ya kikao cha bunge maalumu leo hii wakati wa kipindi cha jioni. Wajumbe walio wengi wanaongea as if katiba itakayopendekezwa tayari yanayo mikononi. Hii sio sahihi hata kidogo. Watu walitakiwa kujadili kwa hoja na kuheshima, mwisho wa siku kama ni serikali tatu au mbili wangekubaliana kwa njia ya kidemokrasia kwa kupiga kura kama sheria na kanuni zinavyoagiza. It is very unfortunate kwa kweli mchakato ya katiba mpya umeingia doa kabisa. Ushauri wangu kwa Mhe. Raisi Jakaya Kikwete ni kuwasihi UKAWA warejea kwenye mchakato kama kawaida lakini vilevile lazima awaonye wajumbe walio wengi kujikita zaidi kwenye hoja kuliko mipasho, matuzi, kashifa na ubaguzi wanaoendelea kujitokeza pale ndani ya bunge maalumu. In short hili bunge imekuwa ni aibu ya mwaka na wala halisitahili kuitwa bunge la kutunga katiba ya watanzania.

hili nalo neno mkuuAtawakanya vipi waache matusi na maneno ya kanga ilhali yeye ndo aliyaanzisha?
Proffesor Lipumba na wajumbe wote wa UKAWA nawapongeza sana kwa kitendo cha kizalendo cha kususia bunge leo. Sisi tuko pamoja nanyi. Wito wangu mratibu maandamano na migomo nchi nzima kwa muda usio julikana. Hii ndiyo njia pelee iliyobaki ya kumkomboa mtanzania. Sanduku la kura haliwezi, wenyewe mmejionea kalenga na chalinze.
Watz wako tayari kwa mapinduzi ya nguvu kuiondoa ccm wanahitaji organization tu. Please msipoteze muda. Huu ndio wakati wa mapinduzi, mchuzi wa punda unatakiwa unywewe ukingali wa moto.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
ni wapuuzi na wezi wa posho zetu,kama nyerere angewakimbia wakoloni tungepata uhuru?
so kwa nini wao wakimbie na wakijua ccm hawajui kujenga hoja?
Ni hakika UKAWA wamejiaibisha na kupoteza imani kwa wananchi....na wasijidanganye wananchi watawaelewa ------- mwanasiasa si ndugu yako hata siku moja!
R.I.P UKAWA
Umefuatilia na kusikiliza wanachokidai au unaandika kwa kufuata upepo bila kufuatilia na kusikiliza kinachodaiwa.hawa watu woote wana akili ya aina moja ama wengine wanalazimishwa na kufuata upepo?
mi naamini hoja ndio inaweza kumtoa ama kmbakiza mtu ndani, sasa hawa wametolewa na hoja ama wanatumia konyagi?
wapuuz hao!
wanatufanya wananchi ni wajinga sana?
wanakimbia nini na wanakwenda wapi?
watakuwa wageni wa nani?
Je Nyerere na wenzake wangekimbia wakoloni tungepata uhuru sisi?
hawana maana hao UKAWA kama kundi la wAHUNI TU.
R.I.P UKAWA